Haitakubalika. Lembeli hapana! mamluki hapanaDisclaimer: Hizi ni Tetesi
Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.
Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.
Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge ,lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate, sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
Wewe ni chawa wa mama?Watafika idadi ya waliohomia CCM mlipofinywa na mwendazake?
Chelehani sio PhD holder?Lembeli ni muhuni fulani muvuta bangi pale kahama hana jipya kabisa. Sema mbunge aliyepo Ushetu baada ya kufariki Kwandikwa yaani ndiyo ovyo halina akili darasa la saba lijinga kabisa na tapeli halifai kabisa. Lembeli aendeleze mizimu tu hana jipya keshachoka. CCM 2025 inatafuta mbunge mwingine siyo huyu hohehahe aliyepo wala siyo lembeli lazima awe kijana msomi.
Mama chawa wangu.Wewe ni chawa wa mama?
Infact: Hako ka Mchezo ka kwamba nilikikopesha Chama najirudishia ndivyo ilivyo na Ndiyo Source ya Mwenyewe kutotaka nafasi yake Iguswe.Najaribu kufikiria. Chadema wakichukua nchi. Waanze kujilipa maumivu waliyoyapata tangu enzi za Mtei. Kila mtu atadai maumivu yake ili alipwe. Nikifikira hivyo. Heri ccm waendelee na wizi wao mnaousema.
Hata asimamishwe na kitumbua kitumbua kitashinda asubuhi na mapemaπππLeo wako wapi? CDM ni imani na kila siku imani hukua! Samia mbele ya uchaguzi huru na haki hata asimamishwe na nyoka amini nyoka atashinda kabla ya saa mbili asubuhi.
Bora tukalipa hayo mafao kuliko ya DPW, itafika wakati hao unawahisi watakufa na ndio utakuwa mwisho wa hayo mafao lkn dpw vp, ile misitu yetu vp, mbuga za wanyama nkNajaribu kufikiria. Chadema wakichukua nchi. Waanze kujilipa maumivu waliyoyapata tangu enzi za Mtei. Kila mtu atadai maumivu yake ili alipwe. Nikifikira hivyo. Heri ccm waendelee na wizi wao mnaousema.
MA DC na MA DED wa Wilaya wanazotoka Wajiandae kupoteza kazi hilo kundi likihama ccmDisclaimer: Hizi ni Tetesi
Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.
Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.
Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge, lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate, sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
Chadema wanafuraisha sisi CCM tunapiga kura kweli kweli ndio maana ni mtalalamika Kwa kwenda Mbele ,chadema wengi hata vitambulisho vya kupigia kura vimepotea ,walionavyo hawapo majimbo husika,wakati wa marekebisho hawaendi,kiufupi CCM mbele Kwa mbeleLeo wako wapi? CDM ni imani na kila siku imani hukua! Samia mbele ya uchaguzi huru na haki hata asimamishwe na nyoka amini nyoka atashinda kabla ya saa mbili asubuhi.