Kundi la Watanzania laandamana wanataka ndege yao

 
!
!
Hawa Ni Vibaka Tu Wa Lumumba. Badala Ya Kulipa Hela Za Watu Wanajipanga Kufanya Maandamano Yasiyo Na Maana Yoyote.

Pale Hakuna Hata Mmoja Aliye wahi Kupanda Ndege Au Hata Kuisogekea Hatua Chache. Tunataka Ndege Yetuu Hahahahahaha

Nimecheka hadi mbavu zinauma, eti hakuna aliyewahi kusogelea ndege hapo.
 
Nilijua tu hii isngekupita, Hii sio picha nzuri lakini people can think beyond here

hUYU JAMAA NAHISI YUKO BONGO. MAANA HII KUNA JAMAA KANIRUSHIA HIVI PUNDE.
😛 🤣 🙂
 
Maigizo ya kijinga kabisa haya.Wanaonekana wameandaliwa hahahahaaa.


Ila kiongozi mkuu anachezeshwa akili na hutu tutoto,Yani anashindwa kujua kuwa haya ni maigizo ili huto tutoto tuendelee kumkomba fedha.


Kweli vi wonder

Mkuu

Viwonder vile vya yule mpiga domo Mwijage!

Hahahaha
 
JamiiForums kwani hata uzi umetokea nchi jirani ya Kenya hauwezi kuungwa na zile zinazofanana na uzi huo husika?
 
Nilijua tu hii isngekupita, Hii sio picha nzuri lakini people can think beyond here

Mbona hii sasa hivi inacheza kwenye kurasa ya ishirini kule kwenye jukwaa la siasa, ndio kero za mitandao ya kijamii, kitu kinafanyika na kuasambaa dunia yote huku wewe ukiwa kitaani huna habari.
Icheck huku wanavyoijadili
 
JamiiForums kwani hata uzi umetokea nchi jirani ya Kenya hauwezi kuungwa na zile zinazofanana na uzi huo husika?

Hehehe!! Kuna habari za kwenu kwa ajili ya Watanzania na kunazo habari za kwetu tunaziita international news. Angalia taarifa ya habari, wakimaliza local news wanaanza za kimataifa, hvyo ukiona issue ya Tanzania inajadiliwa hapa na Wakenya ujue tunaijadili kama international news.
Kama jinsi nyie hujadili matukio ya kwetu mara tumeparamia punda, mara sijui tumefanya nini
 
mbona hayajatangazwa hayo maandamano kama raia waandamane hao watakuwa wakina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…