Kundi la Watanzania laandamana wanataka ndege yao

Kundi la Watanzania laandamana wanataka ndege yao

_108523578_042a1081.jpg


NDEGEPIC.jpg
haya ma bango lazima yaliandikwa na joto la jiwe
 
Haya maandamano bana, maandamano bila vitoa machozi ni upuuzi. Yaani ni kama wanaimba tu nyimbo za kitamaduni. 😎 Waje away game huku Kenya.
Angalia ujumbe kwenye hayo mabango.
 
This airplane is de facto now South African property.Maskini wa Tz wawache kurukaruka na mabango ambayo wameaandikwa toka University of Manzese Slums
 
Haya sasa, Airbus yetu imeshaachiwa, free to resume flights once again...
 
Kweli beberu anaogopwa, Watanzania waliandamana ilipokamatwa Afrika Kusini, lakini sasa imekamatwa kwa mabeberu hakuna kuandamana wala makelele.
 
Back
Top Bottom