Kundi la Wawekezaji wakiongozwa na Elon Musk wametoa ofa dola bilioni 97 kununua OpenAi

USA Kunazidi kuchangamka kila uchao. Wacha tukae kwenye kigoda tone mchezo unavyo kwenda.
 
Mwenye pesa pekee ndie atakaewini
 
Kama kunakamtu kajanja janja na kana tamaa ni elon musk.
Kwanza ana hasira sana na altman na open AI maana anaona imekuqa kotu kikubwa na yeye alijitoa hivyo hatofaidika nayo ndiyo maana hata kawafungulia kesi eti walipaswa kubaki non profit.
Akiinunua sina mashaka kwamba naye ataigeuza kuwa for profit tu.
Jamaa kama hafaidiki na jambo na anaona kuna ela roho inamuuma kinoma.
 
Lile roboti letu sofia limekosa soko sijui kwanini.
 
OpenAI mbeleni itakuwa kampuni kubwa sana na Hicho ndicho kinamfikirisha Elon Musk na kumletea msongo wa mawazo...
 
97b ni zaidi hata ya GDP ya Tanzania, duh hizi teknolojia tujifunze na sisi tupate ofa kama hiyo.
Tungewekeza hata kwenye soka basi. Timu yetu ishinde kombe la dunia na kupewa dola milioni 45 wachezaji wapewe dola milioni 5 na kucover gharama za maandalizi, na arobaini zikajenge barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…