Uchaguzi 2020 Kundi la WhatsApp lachukua sura mpya baada ya Tundu Lissu kutangazwa Mgombea Urais CHADEMA

Pole. Wengi tumeumizwa. Lakini kwa tume hii ya uchaguzi na sheria zinazolinda uchaguzi huu, tutaendelea kuumia hadi basi.
 
Huu ndio muda ambao ccm watashangaa maana hawataamini kura watakazopewa na wananchi...wengi wana hasira kuanzia familia za waliotumbuliwa kwa uonevu
Ndugu yangu kwa tume hii (wote ni makada wa CCM) matumaini yako ni ndoto. Wapinzani watakaokubaliwa na tume kugombea , wakishinda hawatatangazwa na badala yake atatangazwa mugombea wa CCM aliyeshindwa. Hii inatokana na wawakilishi wa vyama katika chumba cha kuhesabu kura kunyimwa nakala ya matokeo.
 
Huyo mzee wako labda alikuwa hafanyi kazi serikali hakuna mstaafu wa serikali asiyepata pension yake zaidi ya miezi sita baada ya kustaafu. Unless anamatatizo ya record zake za kuajialiwa.
 
Umeshashindwa tayari kwa mawazo hayo!
 


Makonda amekabidhi ofisi akilia una habari kweli wewe? Maana hata unavyoongea huna habari kama Makonda kakabidhi ofisi
 
Uandishi wako unakutambulisha kuwa wewe ni mmakonde wa kusini.
 
Haya hongereni. . . Oktoba sio mbali, tutakutana huko
 

Sasa we umeandika nn hiki jaman....... hata Kuwasilisha hoja unashindwa! Rudi darasani
 
Kwenye familia yetu, mheshimiwa Lissu anakura sita mpaka sasa. Yakwangu, baba, mama, mdogo wangu, kaka yangu na mke wangu.
Binafsi ni muhanga pia wa serikali hii, kwenye suala la urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu, hapo zamani tulikua tunalipa asilimia 8 kama marejesho lakini serikali hii ikabadili sheria kwa ubabe na kuanza kutukata asilimia 15.
Mzazi wangu mmoja pia ni muhanga, amestaafu lakini amekuja kupewa mafao madogo sana kutokana na sheria zao mbovu walizotuletea.
Nitaendelea kumtafutia Lissu kura zaidi kwa watu mbali mbali wanaonizunguka.
 
Sijaona connection ya lisu na hii stori yako .
 
Sijaona connection ya lisu na hii stori yako .
Hata ubongo wako hauna connection sababu ya stroke.

Stroke occurs when blood vessel that carries oxygen & nutrients to the brain is either blocked by a clot or bursts.
 
Hata ubongo wako hauna connection sababu ya stroke.

Stroke occurs when blood vessel that carries oxygen & nutrients to the brain is either blocked by a clot or bursts.
Ona jinge.r hili linalosema ni vumilivu la kisiasa.
 
8/8 kawashangazeni green veggies 🥬 Dodoma
 
Hata Mungu alimpa Musa amri kumi ili kuweka nidhamu na utii duniani na amri kumi zile ndiyo msingi wa sheria za leo.

Kungekuwa na Utawala wa katiba na sheria wastaafu wasingesumbuliwakupata mafao yao.
Nchi gani duniani uliyowahi kusikia iliendelea kwa sababu ya utawala bora na sheria? Taja moja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…