Kundi tunalolitaka Simba

Kundi tunalolitaka Simba

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Baada ya simba mnyama mkali kufuzu hatua ya makundi jana kwa ushindi mwembamba tulioupata wa jumla ya magoli 4 - 1 mimi kama kiongozi wa simba naomba radhi kwa ushindi huo kiduchu ndio maana tukajadiliana tupate proper striker january ili tuwe tunafunga vya kutosha

Kwanza kwa inavyoonekana sisi kama mnyama mkali tutakuwa pot ya 3
hivyo pot ya kwanza tunamtaka WAC hawa ni mabingwa watetezi sie kama wanyamwezi tupeni mzigo mgumu
japo pot hiyo al ahly yupo ila hana utamu kwetu kashakuwa pombe ya ngomani mpaka kagere alikuwa anajipigia tu

Pot ya 2 tuwekewe Mamelody Sundown hawa wanasikiaga tu kwa mkapa hatokagi mtu hawa wanahitaji pumzi ya moto haswa

pot ya 3 mnyama mkali tishio anayekula nyama nje ndani

pot ya 4 tupeni vipers tuwafundishe watu jinsi ya kuwafunga hawa Vipers.

Najua as vita wapo hapo ila hawana mnato tena hawa tunajipigiaga tu nje ndani kama mademu wa ubanda

Kwa hiyo kundi litakuwa
Wydad Casablanca
Mamelody Sundowns
SIMBA
Vipers

ila msimamo sijui nani ataongoza ila simba tutakuwa na point 10 tutapita tu

Barbara hakikisha kundi liwe hivi tunahitaji uto wawapokee kila mgeni atakayekuja na wamuelekeze mlango wa kupita
 
Hilo kundi mzee wangu hutoboi mkipangiwa hivyo.....Mimi sio Yanga wala simba mimi ni mwana Azam fc....huwezi kufika 16 bora kama itakuwa hivyo.
Sikia wewe uto mie hapo natoboa bila shida
nawapelekea moto tu
unafikiri mchezo nini kwa gadiola mnene
 
Sikia wewe uto mie hapo natoboa bila shida
nawapelekea moto tu
unafikiri mchezo nini kwa gadiola mnene
Vipers wenyewe watakutoa jasho,Wydad na Mamelodi unaweza pata ushindi kwako lakini ukaenda kufia Bondeni au Jirani na Ulaya.
 
Hilo kundi mzee wangu hutoboi mkipangiwa hivyo.....Mimi sio Yanga wala simba mimi ni mwana Azam fc....huwezi kufika 16 bora kama itakuwa hivyo.

Nilitoboa nikiwa mgen wa mashindano kundi likiwa na waarabu wawili na as vita nishindwe sahiz najua kuyacheza na nishayazoea
 
Mimi nilipita kundi kwa point 9 tu
sina wasi wasi na makundi
Vipers wenyewe watakutoa jasho,Wydad na Mamelodi unaweza pata ushindi kwako lakini ukaenda kufia Bondeni au Jirani na Ulaya.
 
Hilo kundi mzee wangu hutoboi mkipangiwa hivyo.....Mimi sio Yanga wala simba mimi ni mwana Azam fc....huwezi kufika 16 bora kama itakuwa hivyo.
hakuna mwana azam Nchi hii, wewe ni uto unaejificha kukwepa zomea zomea! jitambue wewe!
 
Mimi nilipita kundi kwa point 9 tu
sina wasi wasi na makundi
Kama ni mtu wa mpira kweli kweli....nafsi yako inakwambia kimya kimya hilo kundi sio la kuomba.....unaelewa kabisa Wydad na Mamelodi ndio watakao songa mbele na wewe na Vipers mtarudi East Africa.
 
hakuna mwana azam Nchi hii, wewe ni uto unaejificha kukwepa zomea zomea! jitambue wewe!
Kuwa Yanga au Simba ndio kujitambua acha kuongea upuuzi kijana,kuna watu hawana timu ila wanapenda mpira nao hawajitambui.
 
Kama ni mtu wa mpira kweli kweli....nafsi yako inakwambia kimya kimya hilo kundi sio la kuomba.....unaelewa kabisa Wydad na Mamelodi ndio watakao songa mbele na wewe na Vipers mtarudi East Africa.
Huwajui simba wewe
kwa kuanzia point 9 uhakika ni lazima kama kifo
kwanza unataka timu ngumu apangiwe nani ?
hii ni ligi ya mabingwa
 
Back
Top Bottom