Kundi tunalolitaka Simba

Kundi tunalolitaka Simba

Mi natamani Uto wapangiwe De Agosto kwenye mtoano shirikisho
Ndio watajua kama hawajui
De agosto wa namungo ni sawa na zalan tu, in short simba hafiki popote basi tu wamepata zali kwa agosto
 
Kuwa na Mamelod na Waydad pamoja ni hatari mzee. Pale inatakuwa iwe kama misimu iliyopita. Kunakuwa na Simba na Giant mmoja, halafu ndio waje kina Al Hilal, Vipers, El Merrick. Hapa inakuwa easy sisi giants kupenya
Mamelod wapo pot ya pili
ya kwanza
wapo al ahly wydad esperance na raja
tunaweza tukakutana nao plus mmoja wa juu
 
Kuwa na Mamelod na Waydad pamoja ni hatari mzee. Pale inatakuwa iwe kama misimu iliyopita. Kunakuwa na Simba na Giant mmoja, halafu ndio waje kina Al Hilal, Vipers, El Merrick. Hapa inakuwa easy sisi giants kupenya
Screenshot_20221017-084939.jpg
 
Hilo kundi mzee wangu hutoboi mkipangiwa hivyo.....Mimi sio Yanga wala simba mimi ni mwana Azam fc....huwezi kufika 16 bora kama itakuwa hivyo.
Mkuu hii ndo 16 Bora Wenda useme robo finally au 8 Bora

Fact hata wakati Lile kundi la kipindi kile linatoka mlisema Simba hawezi kutoboa mbele ya Al ahly,as Vita club Na El melick
 
Mi natamani Uto wapangiwe De Agosto kwenye mtoano shirikisho
Ndio watajua kama hawajui
Hawawezi kukutana nadhani timu zote zilizoshindwa kufuzu champions league group stage zinakutana Na zile zilizofuzu confederation stage hii
 
Kama ni mtu wa mpira kweli kweli....nafsi yako inakwambia kimya kimya hilo kundi sio la kuomba.....unaelewa kabisa Wydad na Mamelodi ndio watakao songa mbele na wewe na Vipers mtarudi East Africa.
Laiti ungekuwa unajua mpira kidogo tu ungekuwa unajua Vipers kwenye hilo kundi ana possibility ya kufuzu zaidi.
 
Kwakweli mamelodi nawatamani sana. Tupangiwe hao.
 
Back
Top Bottom