Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Hivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mawili kama sio matatuHivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
Kung'ang'ania usipopendwa ni tabia mbaya sana. Unakosa heshima kwako mwenyewe na kwa huyo mtu unayemng'ang'ania.Hivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
Kinachong'ang'aniwa ni mbususu sio mapenzi mkuuHivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
Jibu ni dhahiri tu kwamba mhusika ni mjinga. Hajitanbui.Hivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
Eh kumbeKinachong'ang'aniwa ni mbususu sio mapenzi mkuu
😳😳Jibu ni dhahiri tu kwamba mhusika ni mjinga. Hajitanbui.
Kwaiyo wote wanongangania hawajiheshimu?Kung'ang'ania usipopendwa ni tabia mbaya sana. Unakosa heshima kwako mwenyewe na kwa huyo mtu unayemng'ang'ania.
Kumbe single maza Ndio vinganganizi 😅Kuna mawili kama sio matatu
👉Huna mvuto kwa wengine Yani hakuna anaekukubali
👉Single maza
👉Huwezi kuzicontroll hisia
Minyege 2000 Mama MwanaHivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
Ni upumbavu wa kimapenziHivi kungangania mpenzi asiekupenda inamaanisha una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?
Una mapenzi ya dhati ila unae mg'ang'ania atakuona huna pa kwenda
Kwaiyo jibu ni mapenzi ya dhatiMapenzi yasikie kwa jirani, unaweza kupendwa usikopendwa na unaweza ukapendwa na usiye mpenda,kuna ka-kizungumkuti flani hivi.
Mkuu hao ni washamba wa puss tu ? Kuna wana wanajadili eti puss ni nini kaka mkubwa🤔🤔😅...na kwa nini uwe kinganganizi?
Ukishaona hukubaliki tafuta njia nyingine usepe tu! Hakuna kitu mbaya kama kubembeleza mtu.
Ndiyo, hiyo inaitwa "unrequited love"Kwaiyo jibu ni mapenzi ya dhati
SahihiUna mapenzi ya dhati ila unae mg'ang'ania atakuona huna pa kwenda