Kung'ang'ania usipopendwa Ina maana una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?

Kung'ang'ania usipopendwa Ina maana una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?

Kuna hilo babu nilizama Yan unaweza Lia Ata msosi 🤣Kwann ni
Kuna mashimo ukishaingia kwanza unadata kila ukiwaza ulvyokua unabanwa unaona ngoja ukomae anaweza badil maamuz

Hakuna mapenzi ya dhati kuna upendo wa dhati tu



Mapenzi ni mapenzi hayana dimension yoyote, Ndio maana yakikosa Msingi wa UPENDO mwisho wake huwa mbaya Sana
Mada ni Pana hii upendo ni nini mapenzi ni nini? Muramwaito
Ogopa sana wanawake wenye 27+ wakikuganda

Hawana pa kwenda wanataka ndoa tu upendo hakuna

Hit her and run asikufanye her retirement plan

Learn or Perish
Sure mkuu nilipata single maza huyo babu ka kunguni mzee 🤣haachi
 
Inategemea upendo kwa mwanamke unatengenezwa na mwanamke anapenda kuonyeshwa thamani kama anapendwa.
 
Mada ni Pana hii upendo ni nini mapenzi ni nini? Muramwaito


Mapenzi ni flesh closeness i.e ukalibu wa miili ya nyama


Upendo ni soul closeness i.e ukalibu wa miili ya KIROHO


Ndio maana Mwenye UPENDO na WEWE Kwamwe umbali hauwezi kuathiri mahusiano yenu Why? B'se hakuna kikwazo kinachoweza kuzuia UPENDO, Kama upo, upo tu na unajitosheleza wala hauhitaji mazingira ya nje kudhibitika kama vitu au ukalibu wa miili


Mwenye mapenzi na WEWE umbali LAZIMA utaathiri mahusiano yenu kwasababu Msingi wa Mapenzi ni ukalibu wa miili hi ya mavumbi i.e miili ya nyama na damu Kwaiyo miili ikiwa mbalimbali mapenzi hukosa Nguvu na kupungua na mwisho kufa b'se Msingi wake 👉 Bodies closeness umekufa hivyo hupelekea na mapenzi kufa


Ndiyo maana Msingi wa NDOA ukiwa ni Mapenzi mwisho wake huwa mbaya kama talaka, chuki, malumbano hata mauaji chunguza hili utaona mwenyewe, NDOA nyingi zilizovunjika msingi wake ulikuwa ni Mapenzi na sio UPENDO



1 Yohana 4 : 8



"Mtu asiye na upendo hamjui Mungu; kwa maana Mungu ni upendo"




kwa maana Mungu ni upendo 👉 UPENDO unapatikana Mahali penye uwepo wa MUNGU tu, huwezi kupata Upendo Mahali popote Zaidi ya penye uwepo wa MUNGU na MUNGU ni mtakatifu Hivyo mahali alipo ni Lazima pawe matakatifu
 
Back
Top Bottom