Kung'ang'ania usipopendwa Ina maana una mapenzi ya dhati Au hauna pa kwenda?

Mapenzi unaacha na kuanza kama kufunga na kufungua bomba ?

Ushauri mtu unaweza kujifunza kupenda kwa ku concentrate kwenye mazuri ya mtu (kila mtu anayo) hivyo the only way ni kutafuta unapopendwa hata kama haupendi na ujifunze kupenda Sio Vice Versa (you can change yourself but not someone else)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…