Mada ni Pana hii upendo ni nini mapenzi ni nini?
Muramwaito
Mapenzi ni flesh closeness i.e ukalibu wa miili ya nyama
Upendo ni soul closeness i.e ukalibu wa miili ya KIROHO
Ndio maana Mwenye UPENDO na WEWE Kwamwe umbali hauwezi kuathiri mahusiano yenu Why? B'se hakuna kikwazo kinachoweza kuzuia UPENDO, Kama upo, upo tu na unajitosheleza wala hauhitaji mazingira ya nje kudhibitika kama vitu au ukalibu wa miili
Mwenye mapenzi na WEWE umbali LAZIMA utaathiri mahusiano yenu kwasababu Msingi wa Mapenzi ni ukalibu wa miili hi ya mavumbi i.e miili ya nyama na damu Kwaiyo miili ikiwa mbalimbali mapenzi hukosa Nguvu na kupungua na mwisho kufa b'se Msingi wake ๐ Bodies closeness umekufa hivyo hupelekea na mapenzi kufa
Ndiyo maana Msingi wa NDOA ukiwa ni Mapenzi mwisho wake huwa mbaya kama talaka, chuki, malumbano hata mauaji chunguza hili utaona mwenyewe, NDOA nyingi zilizovunjika msingi wake ulikuwa ni Mapenzi na sio UPENDO
1 Yohana 4 : 8
"Mtu asiye na upendo hamjui Mungu; kwa maana Mungu ni upendo"
kwa maana Mungu ni upendo ๐ UPENDO unapatikana Mahali penye uwepo wa MUNGU tu, huwezi kupata Upendo Mahali popote Zaidi ya penye uwepo wa MUNGU na MUNGU ni mtakatifu Hivyo mahali alipo ni Lazima pawe matakatifu