Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
Maisha yana mambo mengi sana na katika hayo kuna amabayo yana afya katika makuzi yetu na kuna mengine hudhoofisha makuzi yetu ya mafanikio
Moja ya mambo yanayodhoofisha makuzi yetu kimafanikio ni hili la kulazimisha sehemu usiyotakiwa kwa sababu zifuatazo :
KUJICHELEWESHA, Ili kulazimisha sehemu usiyotakiwa kwanza lazima uwe Chawa( lugha za vijana wa kileo) Kwa maana inabidi useme NDIYO sehemu ambayo ilikutaka kusema HAPANA na tena uombe msahamaha kwenye makosa yake , Ki ufupi inakuhitaji kuwa MTUMWA ili kulazimisha usipotakiwa ikuone unfaa.
KUJICHELEWESHA, Kulazimisha usipotakiwa ni kujidanganya tu kwa muda kuwa kuna siku jua halitachomoza kwa kujitafutia matumaini bandia hivyo utaendelea kusubiria hiyo siku ifike na siku unakuja kufanya maamuzi magumu tayari unakuwa umechelewa kama ni umri umeenda
KATAA KUNG'ANG'ANIA USIPOTAKIWA
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako