kama ana nhozi ya mafuta aepuke lotion zenye glycerine, sabuni ya kuondoa mafuta itafaa mfano sabuni za ukwaju,
kwa product za kizungu watakuja kukuelezea mie ninajua product za asili tu
Dah mwanaume hakunaga kujipamba....kwetu la msingi ni kuoga tu ila mambo mengine hatunaga ishu nayo na tunapendeza sana tuu
sabuni za ukwaju, Namna hiyo hapa lazima wanaume wote washine
Simanishi kujipamba what i mean ni kwa ajili ya kuongeza kushine, Lazima nasi tujimoddernise. Example Wamerica wengi wanaume wana tips nyingi za kujiweka soft dats why they real look nice
niwe soft, nani ataendesha pawa tila?
Una mambo, ngoja nikakamue ng'ombe wangu.
Kidogo kidogo, mwishowe unapalilia nyusi.
Anyway, mafuta ya kupaka tumia bio oil ila usipake usoni kama una uso wenye mafuta kama kitumbua.
Usoni jaribu lotion za oriflame labda zitakusaidia, zinaonekana hazina gliserini.
Thread nzuri!!!unyunyu muhimu pia siyo tu mauzo mia halafu unatema jasho!
Ila tatizo la wabongo tuking'ara sana wanatusema eti sisi ni Masharobaro....Simanishi kujipamba what i mean ni kwa ajili ya kuongeza kushine, Lazima nasi tujimoddernise. Example Wamerica wengi wanaume wana tips nyingi za kujiweka soft dats why they real look nice
niwe soft, nani ataendesha pawa tila?
Una mambo, ngoja nikakamue ng'ombe wangu.
Kidogo kidogo, mwishowe unapalilia nyusi.
Anyway, mafuta ya kupaka tumia bio oil ila usipake usoni kama una uso wenye mafuta kama kitumbua.
Usoni jaribu lotion za oriflame labda zitakusaidia, zinaonekana hazina gliserini.
Simanishi kujipamba what i mean ni kwa ajili ya kuongeza kushine, Lazima nasi tujimoddernise. Example Wamerica wengi wanaume wana tips nyingi za kujiweka soft dats why they real look nice
product za oriflame ni nzuri sana.....nadhani hata wewe Kongosho umezikubali.....na bei yake pia ni nafuu.....
Teh Teh Teh! Hapo kwenye red umenichekesha sana bibie Kongosho hadi meno yote yameng'oka.