Kung'arisha uso ( Kuwa soft) na kuwa sopu sopu

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
Imezoeleka kwamba wanawake pekee ndo wanaotakiwa kujipendezesha na Kung'aa. Wanaume wengi wanapenda kujikeep wasafi na wanapenda kung'aa kama Ladies ( I mean kuwa na ngozi nyororo) lakini hawajui la kufanya. Hivyo basi tunajua skin type ambayo huwa inasumbika sana ni ile ambayo inakuwa na mafuta. sasa basi tumwagiane hapa maujuzi ya vitu ambavyo wanaume wanatakiwa kuvifanya ili washine all the time. ( Simaanishi wawe kama wanawake) La hasha
 
kama ana nhozi ya mafuta aepuke lotion zenye glycerine, sabuni ya kuondoa mafuta itafaa mfano sabuni za ukwaju,

kwa product za kizungu watakuja kukuelezea mie ninajua product za asili tu
 
sabuni za ukwaju, Namna hiyo hapa lazima wanaume wote washine
 
naomba niwe mzee wa chabo katika hili!
 
Dah mwanaume hakunaga kujipamba....kwetu la msingi ni kuoga tu ila mambo mengine hatunaga ishu nayo na tunapendeza sana tuu
 
Simanishi kujipamba what i mean ni kwa ajili ya kuongeza kushine, Lazima nasi tujimoddernise. Example Wamerica wengi wanaume wana tips nyingi za kujiweka soft dats why they real look nice
 
sabuni za ukwaju, Namna hiyo hapa lazima wanaume wote washine

husaidia kuondoa mafuta...yanayosababisha chunusi....
Ila nadhani kikubwa mnaponunua mahitaji yenu ya ngozi msome yanafaa kwa ngozi gani na product zina nini na nini......
 
niwe soft, nani ataendesha pawa tila?

Una mambo, ngoja nikakamue ng'ombe wangu.

Kidogo kidogo, mwishowe unapalilia nyusi.

Anyway, mafuta ya kupaka tumia bio oil ila usipake usoni kama una uso wenye mafuta kama kitumbua.

Usoni jaribu lotion za oriflame labda zitakusaidia, zinaonekana hazina gliserini.

Simanishi kujipamba what i mean ni kwa ajili ya kuongeza kushine, Lazima nasi tujimoddernise. Example Wamerica wengi wanaume wana tips nyingi za kujiweka soft dats why they real look nice
 
Thread nzuri!!!unyunyu muhimu pia siyo tu mauzo mia halafu unatema jasho!
 
niwe soft, nani ataendesha pawa tila?

Una mambo, ngoja nikakamue ng'ombe wangu.

Kidogo kidogo, mwishowe unapalilia nyusi.

Anyway, mafuta ya kupaka tumia bio oil ila usipake usoni kama una uso wenye mafuta kama kitumbua.

Usoni jaribu lotion za oriflame labda zitakusaidia, zinaonekana hazina gliserini.

Teh Teh Teh! Hapo kwenye red umenichekesha sana bibie Kongosho hadi meno yote yameng'oka.
 
Simanishi kujipamba what i mean ni kwa ajili ya kuongeza kushine, Lazima nasi tujimoddernise. Example Wamerica wengi wanaume wana tips nyingi za kujiweka soft dats why they real look nice
Ila tatizo la wabongo tuking'ara sana wanatusema eti sisi ni Masharobaro....
Lol
 
Hili tatzo kwa dhahiri lanihusu sana; hizi sabuni za ukwaju zinapatikana wapi kwa mji wa Dsm jamani?
 
niwe soft, nani ataendesha pawa tila?

Una mambo, ngoja nikakamue ng'ombe wangu.

Kidogo kidogo, mwishowe unapalilia nyusi.

Anyway, mafuta ya kupaka tumia bio oil ila usipake usoni kama una uso wenye mafuta kama kitumbua.

Usoni jaribu lotion za oriflame labda zitakusaidia, zinaonekana hazina gliserini.

product za oriflame ni nzuri sana.....nadhani hata wewe Kongosho umezikubali.....na bei yake pia ni nafuu.....
 
Simanishi kujipamba what i mean ni kwa ajili ya kuongeza kushine, Lazima nasi tujimoddernise. Example Wamerica wengi wanaume wana tips nyingi za kujiweka soft dats why they real look nice

and why you wanna look NICE??
 
nazipenda kwa kweli, bei reasonable kabisa.

Ila napenda kuwa na bio oil pia kwa ajili ya miguu.

product za oriflame ni nzuri sana.....nadhani hata wewe Kongosho umezikubali.....na bei yake pia ni nafuu.....
 
Waweza kutumia pia tango kwa kulainisha ngozi na kuongoa chunusi usoni mwako' unakuwa unapaka usoni.
 
Back
Top Bottom