Dansel
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 249
- 59
Imezoeleka kwamba wanawake pekee ndo wanaotakiwa kujipendezesha na Kung'aa. Wanaume wengi wanapenda kujikeep wasafi na wanapenda kung'aa kama Ladies ( I mean kuwa na ngozi nyororo) lakini hawajui la kufanya. Hivyo basi tunajua skin type ambayo huwa inasumbika sana ni ile ambayo inakuwa na mafuta. sasa basi tumwagiane hapa maujuzi ya vitu ambavyo wanaume wanatakiwa kuvifanya ili washine all the time. ( Simaanishi wawe kama wanawake) La hasha