GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi unajua usipompa
pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi?
Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili.
Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko Sanya Juu, Mvungi amesema kuna ukatili wa kijinsia ambao unasahaulika nao ni ukatili wa kiuchumi.
“Kuna ukatili ambao huwa unasahaulika sana nao ni ukatili wa kiuchumi na watu wanaongelea tu kipengele cha mwanamke kupewa nafasi ya kumiliki mali. Naomba niseme hata mke wako usipompa pesa unamkatili kiuchumi,”amesema.
Chanzo: mwananchi_official
Kazi ipo....