Kungekuwa na machaguzi, nisingezaliwa Afrika

Kungekuwa na machaguzi, nisingezaliwa Afrika

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,254
Reaction score
2,014
Teknolojia duni, imani za Mizimu na Mungu lakini magonjwa, umaskini na njaa bado zimetawala.

Bara limetawaliwa na mihemko kuliko akili. Bara ombaomba.

Sidhani kama Bara hili litakuja kujielewa.
 
Ujalazimishwa kuishi Africa dunia kijiji sasa hivi nchi yeyeto utakayo duniani unaishi baada ya mda unaomba uraia so chapu wahi Korea kaskazini ukaishi
 
Braza mpaka sasa bado unayo nafasi ya kuwa raia wa bara lolote unalotaka.
 
Kulijua tatizo ni njia mojawapo ya kulitatua. Nini umefanya kuondoa tatizo hilo, kulalamika........ ?
 
Back
Top Bottom