S Sun is Sun JF-Expert Member Joined Mar 13, 2024 Posts 1,254 Reaction score 2,014 May 27, 2025 #1 Teknolojia duni, imani za Mizimu na Mungu lakini magonjwa, umaskini na njaa bado zimetawala. Bara limetawaliwa na mihemko kuliko akili. Bara ombaomba. Sidhani kama Bara hili litakuja kujielewa.
Teknolojia duni, imani za Mizimu na Mungu lakini magonjwa, umaskini na njaa bado zimetawala. Bara limetawaliwa na mihemko kuliko akili. Bara ombaomba. Sidhani kama Bara hili litakuja kujielewa.
The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 4,778 Reaction score 8,232 May 27, 2025 #2 Ujalazimishwa kuishi Africa dunia kijiji sasa hivi nchi yeyeto utakayo duniani unaishi baada ya mda unaomba uraia so chapu wahi Korea kaskazini ukaishi
Ujalazimishwa kuishi Africa dunia kijiji sasa hivi nchi yeyeto utakayo duniani unaishi baada ya mda unaomba uraia so chapu wahi Korea kaskazini ukaishi
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 May 27, 2025 #3 Braza mpaka sasa bado unayo nafasi ya kuwa raia wa bara lolote unalotaka.
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 6,363 Reaction score 5,354 May 27, 2025 #4 Kulijua tatizo ni njia mojawapo ya kulitatua. Nini umefanya kuondoa tatizo hilo, kulalamika........ ?
Kulijua tatizo ni njia mojawapo ya kulitatua. Nini umefanya kuondoa tatizo hilo, kulalamika........ ?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 May 27, 2025 #5 Chadema in Blood Huyu ni Mbunge aisee tumerogwa. www.facebook.com