bakari Nkya
Member
- Jul 25, 2017
- 5
- 1
Kunguni wanaletwa nyumbani na baba su mama anaekwendaga gesti za bei rahisi. Mfano zile gesti za Mbagala selfu elfu tano, kawaida elfu tatu. Hapo hukosi kuchukua mbegu za kunguni
Inaezekana anapenda mazingira machafu lakin hazarishwi na uchafu...Kunguni anapenda mazingira machafu, rangi nyeusi, nyekundu na brown, Giza, sehemu isiyoingiza mwanga wa jua vizuri na sehemu mtu sio msafi, apo Kunguni hatoki.
Kunguni hapendi mazingira haya yenye mwanga wa taa nyeupe(energy saver), hapendi kuta zenye rangi ya njano na kijani, hapendi godoro lenye kava ya plastic, hapendi godoro lenye rangi njano/kijani, hapendi alufu za pafyumu, hapendi vitanda vya chuma kwa sababu vinaptisha baridi, sehemu ambazo wanapuliza airfresh hawezi kukaaa kabisa ni hayo.
Hii ni Research ya range management and tsetsefly
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe mchafu utakosa kunguni?Sio kweli kunguni wanasababishwa na uchafu mfano chumba changu Ni kisafi lakini kulikuwa na kunguni pia nakumbuka nilienda kwenye Easter comference kwenye shule ya Kisarawe nililala chumba kilikuwa kisafi lakini kilikuwa na kunguni
Me ni msafiWewe mwenyewe mchafu utakosa kunguni?
Wewe jitahidi kuwa msafi, mwanaume hajisifii husifiwaMe ni msafi
Hata kigoma mkuu, tena wa kigoma wana roho ngumu kweli, sijui wanatoke misitu ya congo wale.
Kifupi tu ni kwamba watu wa Kigoma, Bukoba na Musoma ni wachafu sana. Ndio maana mabasi ya Kigoma, Bukoba na Musoma ndio yenye kunguni. Imagine hata watu wa Mtwara wanawashinda?Hata kigoma mkuu, tena wa kigoma wana roho ngumu kweli, sijui wanatoke misitu ya congo wale.
Mimi nadhani kunguni wapo kama wadudu wengine..
Unawapata kama umeenda kulala sehemu yenye kunguni then ukawabeba kupeleka kwenu.
Kuwa makini maana siku hizi kuna hadi mabasi yana kunguni, nyumba za wageni n.k.
Na ukishamleta kwenu ndio basi tena. Utatumia nguvu nyingi sana kumuangamiza.
Tofauti na imani ya watu wengi kwamba kunguni ni uchafu. Lakini angalia kwenye baadhi ya vyuo. Unakuta block lina kunguni hadi vyumba vya madada.. hivi kuna watu wasafi vyumbani mwao kama wadada wa vyuo?
Nilitumia hii na haikusaidia!gambakuffu, Dawa kiboko ya kuua kunguni
Mahitaji
1. Sabuni ya unga
2. Mafuta ya taa
3. Chumvi pakit moja
Changanya kwa pamoja kanyunyuzie sehemu walipo kwa muda wa siku 3_5
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanajifanya hawajui kama wewe ni wa usafini(wcb) na Usafi kwako upon kwenye damu au wanaleta dharauMe ni msafi
Yah naijua hiyo dawa hata me nilitumia hiyo hiyo niliwaua wote sasa hiv nakaa kwa amani kabisa.Nilitumia hii na haikusaidia!
Na nilikuwa siwajui,kuna mgeni alituletea,sina hamu!
Kuna dawa Fulani tulitumia ya dukani unachanganya na maji,ni nomaaa,halikubaki hata yai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wangu unaonekana wewe ni expert wa kuangamiza hawa wadudu. Walishakuandama huku nyuma?Dawa ya kunguni ni maji ya moto tu... Hapo kunguni hawaruki...
Likizo moja wakati nipo chuo nilimuachia vitu vyangu vya ndani rafiki yangu mmoja hivi. Ilikuwa ni likizo ndefu. Nilivorudi nikatafuta chumba cha kuishi then nkahamisha vitu vyangu.Mzee wangu unaonekana wewe ni expert wa kuangamiza hawa wadudu. Walishakuandama huku nyuma?
Experience is the best teacherLikizo moja wakati nipo chuo nilimuachia vitu vyangu vya ndani rafiki yangu mmoja hivi. Ilikuwa ni likizo ndefu. Nilivorudi nikatafuta chumba cha kuishi then nkahamisha vitu vyangu.
Aiseee ule usiku niliohamia ile nyumba kunguni walininyanyasa mno. Ilipofika saa 8 usiku nikaona hapa sasa mbona itafika asubuhi sijalala kabisa.
Nikachemsha maji kwenye rice cooker. Yalipochemka nikawa nayachota namwagia kwenye nafasi baina ya godoro na kitanda. Na pia kwenye maungio ya kitanda na sehemu zenye nyufa kwenye kitanda.
Baada ya hapo nilipolala wala sikusumbuliwa. Nikaona Ohooo kumbe hii ndio dawa. Ikawa kila siku kabla ya kulala nachemsha maji namwagia. Na nilifanya hivyo kwa muda wa siku 5.
Baada ya hapo sikuwahi kuwasikia kunguni tena for more than 2 years ambayo niliishi katika ile nyumba.
Experience can not be taught in the classroom.Experience is the best teacher