Kunguni wanasababishwa na nini?

Kunguni wanasababishwa na nini?

Hiii kali walahi maana wapo pia hawo wamama wanao kwenda na hao wa baba coz gest hizo waendazo BBA lazma awe na mama
Kunguni wanaletwa nyumbani na baba su mama anaekwendaga gesti za bei rahisi. Mfano zile gesti za Mbagala selfu elfu tano, kawaida elfu tatu. Hapo hukosi kuchukua mbegu za kunguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunguni anapenda mazingira machafu, rangi nyeusi, nyekundu na brown, Giza, sehemu isiyoingiza mwanga wa jua vizuri na sehemu mtu sio msafi, apo Kunguni hatoki.

Kunguni hapendi mazingira haya yenye mwanga wa taa nyeupe(energy saver), hapendi kuta zenye rangi ya njano na kijani, hapendi godoro lenye kava ya plastic, hapendi godoro lenye rangi njano/kijani, hapendi alufu za pafyumu, hapendi vitanda vya chuma kwa sababu vinaptisha baridi, sehemu ambazo wanapuliza airfresh hawezi kukaaa kabisa ni hayo.

Hii ni Research ya range management and tsetsefly

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaezekana anapenda mazingira machafu lakin hazarishwi na uchafu...

...
 
Sio kweli kunguni wanasababishwa na uchafu mfano chumba changu Ni kisafi lakini kulikuwa na kunguni pia nakumbuka nilienda kwenye Easter comference kwenye shule ya Kisarawe nililala chumba kilikuwa kisafi lakini kilikuwa na kunguni
Wewe mwenyewe mchafu utakosa kunguni?
 
Hata kigoma mkuu, tena wa kigoma wana roho ngumu kweli, sijui wanatoke misitu ya congo wale.
Kifupi tu ni kwamba watu wa Kigoma, Bukoba na Musoma ni wachafu sana. Ndio maana mabasi ya Kigoma, Bukoba na Musoma ndio yenye kunguni. Imagine hata watu wa Mtwara wanawashinda?
 
Dawa ya kunguni ni maji ya moto tu... Hapo kunguni hawaruki...
Mimi nadhani kunguni wapo kama wadudu wengine..
Unawapata kama umeenda kulala sehemu yenye kunguni then ukawabeba kupeleka kwenu.

Kuwa makini maana siku hizi kuna hadi mabasi yana kunguni, nyumba za wageni n.k.
Na ukishamleta kwenu ndio basi tena. Utatumia nguvu nyingi sana kumuangamiza.

Tofauti na imani ya watu wengi kwamba kunguni ni uchafu. Lakini angalia kwenye baadhi ya vyuo. Unakuta block lina kunguni hadi vyumba vya madada.. hivi kuna watu wasafi vyumbani mwao kama wadada wa vyuo?
 
gambakuffu, Dawa kiboko ya kuua kunguni

Mahitaji
1. Sabuni ya unga
2. Mafuta ya taa
3. Chumvi pakit moja

Changanya kwa pamoja kanyunyuzie sehemu walipo kwa muda wa siku 3_5

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitumia hii na haikusaidia!
Na nilikuwa siwajui,kuna mgeni alituletea,sina hamu!

Kuna dawa Fulani tulitumia ya dukani unachanganya na maji,ni nomaaa,halikubaki hata yai

Yah naijua hiyo dawa hata me nilitumia hiyo hiyo niliwaua wote sasa hiv nakaa kwa amani kabisa.
 
Mzee wangu unaonekana wewe ni expert wa kuangamiza hawa wadudu. Walishakuandama huku nyuma?
Likizo moja wakati nipo chuo nilimuachia vitu vyangu vya ndani rafiki yangu mmoja hivi. Ilikuwa ni likizo ndefu. Nilivorudi nikatafuta chumba cha kuishi then nkahamisha vitu vyangu.

Aiseee ule usiku niliohamia ile nyumba kunguni walininyanyasa mno. Ilipofika saa 8 usiku nikaona hapa sasa mbona itafika asubuhi sijalala kabisa.

Nikachemsha maji kwenye rice cooker. Yalipochemka nikawa nayachota namwagia kwenye nafasi baina ya godoro na kitanda. Na pia kwenye maungio ya kitanda na sehemu zenye nyufa kwenye kitanda.

Baada ya hapo nilipolala wala sikusumbuliwa. Nikaona Ohooo kumbe hii ndio dawa. Ikawa kila siku kabla ya kulala nachemsha maji namwagia. Na nilifanya hivyo kwa muda wa siku 5.

Baada ya hapo sikuwahi kuwasikia kunguni tena for more than 2 years ambayo niliishi katika ile nyumba.
 
Experience is the best teacher
 
Japokuwa sijui chimbuko lake nahisi pia walitokea kwa wanyama wenye damu then interaction ya wanyama na binadamu ndio wakahamia kwetu lakini hyo dhana kua wanatokea sehemu pachafu toa maana Hata hotelin utawakuta ,endapo mtu aliye wabeba wakahamia makazi mapya.

Toka Niko na umri wa miaka 10 niliishi kwenye chumba changu na usafi kwakeli sio Sana Hata jamii ya tandabui nilikua naishi nayo tu bila shida

Nilivyofiksha miaka 16 tulipata mgeni pale home kutoka rural huko alikaa kwa week tu akasepa(nilikua na lala nae chumba kimoja) .Sasa baada ya mwezi niliumwa bro wangu akasema tutalala wote ili niwe nakuhudumia Kama ukizidiwa ( ilikua maralia Kali Sana sijapata ona) asee ule usiku bro alipata shida Sana na kunguni kuamka mornie akaanza kunisema Sana na me ndyo nawajua kwa Mara ya kwanza hao wadudu walinitesa Sana japokuwa nna usinigzi mzito Sana mpk nikafanikiwa kuwapoteza kabisa mpk Leo

So hyo dhana yA kusema wanatokana na uchafu hebu toeni Bali ukiwaona jarbu kuwaangamiza haraka
 
Back
Top Bottom