Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna watu nawaonaga hawafikiri kama wanaosema kunguni wanasababishwa na uchafu...kunguni wanakaa hata kwenye vitanda vya Hilton Hotel sasa vitanda vya Hilton Hotel na chako cha geto chepi kisafi.
Sababu ya kunguni ni kuletwa na mtu aliyembebeba kutoka palipo na kunguni watazaliana mpaka watajaa...njia pekee yakuwaondosha ni sumu ya wadudu kama LAVA basi.
Watu wanajiropokea tu uchafu kana kwamba huo uchafu ndio unabadilika na kua kunguni.Hakuna watu nawaonaga hawafikiri kama wanaosema kunguni wanasababishwa na uchafu...kunguni wanakaa hata kwenye vitanda vya Hilton Hotel sasa vitanda vya Hilton Hotel na chako cha geto chepi kisafi.
Sababu ya kunguni ni kuletwa na mtu aliyembebeba kutoka palipo na kunguni watazaliana mpaka watajaa...njia pekee yakuwaondosha ni sumu ya wadudu kama LAVA basi.
Kunguni ni msafiri a Atoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kupitia binadamu na nguo zilizopo kwy mabegi yawasafiri.Come27, Swali la msingi Ni wanatoka wapi?
DAWA NYINGINE YA KUNGUNI AMBAYO NI YA UHAKIKA ZAIDI NI SISIMIZI!gambakuffu, Dawa kiboko ya kuua kunguni
Mahitaji
1. Sabuni ya unga
2. Mafuta ya taa
3. Chumvi pakit moja
Changanya kwa pamoja kanyunyuzie sehemu walipo kwa muda wa siku 3_5
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Kuna mshikaji wangu kipindi nipo chuoni kaja kalala chumbani na mizigo yake akawaacha kunguni nilichofanya nilikuwa na godoro jipya la rangi ya kijani, wakawa wanajificha tuuu na nilikuwa napuliza airfresh kila jioni nawasha taaa{energy saver} usiku. Ndani ya mwezi walipotea wote maana walishindwa kuning'ata maana nilikuwa nalala nimewasha taaa nyeupe usiku mpaka asubuhi. Tatizo la kunguni kama mnaishi kwy chumba wawili na sehemu ya joto alafu mwenzako sio mtu wa kuoga na kufua nguo anazirundika ujue apo kunguni kuondoka atachukua mudanimeishi mererani mji wenye joto la haja,ambalo ni sehemu ya mahitaji ya kunguni,baada kugundua kiumbe huyu yupo nilipiga dawa kisha nikawa mfatiliaji wa maeneo pendwa.ikafikia dogo wa chumba cha pili ambae kwake wapo kama mapambo ukutani,akiingia kwangu anaacha mbegu lkn inakua rahisi kujua kutokana na ukubwa wao.hakuna jambo lenye sababu moja tu,uchafu ni sehemu ya kustawisha wadudu waharibifu na wasumbufu.hivyo ni moja ya sababu.na inachangia sana ustawi wao.
Dah kweli uchafu ila kwenye dp yako nimeona kunguni sijui ni wewe huyo auuchafu
Mkuu sabuni ya unga siyo kama haiuwi, eneo hilo haujatafiti.Kunguni ni msafiri a Atoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kupitia binadamu na nguo zilizopo kwy mabegi yawasafiri.
Kunguni sehemu zenye rangi ya kijani au njano anakimbia anajua iyo rangi anaonekana kwa iyo hataama chumba au nyumba kwenda kwy nyumba iingine hawezi iishi sehemu yenye changamoto kwa sababu hawezi kuzaliana na sehemu ambayo inapitishwa usafi kwa kutumia sabuni izi za aerial, omo na kleasoft haimuui ila inamshmbua inabidi haame.
Kumbuka Kunguni hafi kwa dawa nyingi ila anaondoka kutokana na kero ya manukato. Kama ni mwanaume au mwanamke una kile kiarufu kama cha beberu Kunguni kuondoka ni shida labda ubadilishe mtindo wa maisha uwe msafi kiarufu kikisepa anakimbia
Research ya RANGE MANAGEMENT AND TSETSEFLY TANZANIA
Sent using Jamii Forums mobile app