Kunguru kuonekana uwanjani kabla na baada ya mechi ya Simba SC vs Yanga SC

Kunguru kuonekana uwanjani kabla na baada ya mechi ya Simba SC vs Yanga SC

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Ushirikina utakaotumika kesho ni njiwa wengi walizoea PAKA aka mapaka kesho roho za bahati mbaya zitatumia njiwa.

Njiwa hawa watatolewa kabla ya mechi na HT nayo watatoa Salute.

Baada ya mechi watawaaga kwa heshima na kurudi walipokuwa

All the best
 
Yanga atalala mbele ya SIMBA... Bao chache kabisa zitakuwa 2
giphy.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa mgeni uwanja wa taifa, kunguru wanakuwepo mpaka mechi za usiku
 
Mshana pamoja na Gentamycine wamekuwa wakiwaponza sana wanaobeti.Hahahaaa
 
Wahenga inabidi mshushe uzi maalum kwa ajili ya kutoa elimu ya utani wa jadi kwa sisi vijana wa dot com.
Mdogo mdogo michezo ni furaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka nikiwa mdogo mzee wangu alimualika mzee wa Yanga Kwalarumpa malaysia kwenye baa moja karibu na sheli ya Mwanamboka mitaa ya Kino baada hapo akampakia kwenye gari akampeleka kwake.
Utani wa jadi haikuwai kuwa uadui.
 
Wahenga inabidi mshushe uzi maalum kwa ajili ya kutoa elimu ya utani wa jadi kwa sisi vijana wa dot com.Nakumbuka nikiwa mdogo mzee wangu alimualika mzee wa Yanga Kwalarumpa malaysia kwenye baa moja karibu na sheli ya Mwanamboka mitaa ya Kino baada hapo akampakia kwenye gari akampeleka kwake.
Utani wa jadi haikuwai kuwa uadui.
Exactly... That's why unaitwa utani tena wa jadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama Yanga atapaki basi na kutegemea kaunta?

Katika kubeti unashauriwa usiingie mzima mzima kwenye mechi za derby wachezaji hua wanajitoa kama siyo uliowaona wiki moja nyuma.
Hatuwezi kupaki basi kwa timu kama Simba. Kwa wachezaji gani walionao hadi iwe hivyo? Hawa kina chama? Morrison?
 
Back
Top Bottom