Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Hahaha mechi za watani wa jadi zina visa.Hatuwezi kupaki basi kwa timu kama Simba. Kwa wachezaji gani walionao hadi iwe hivyo? Hawa kina chama? Morrison?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mechi za watani wa jadi zina visa.Hatuwezi kupaki basi kwa timu kama Simba. Kwa wachezaji gani walionao hadi iwe hivyo? Hawa kina chama? Morrison?
Povu hakiwezi kuwaepusha na kipigo cha jioni ya leo.Kima ww
Upe muda wakati. Simba 3 yanga 1Utajua manyanga saa zingine huwa yanagoma!
Mzee mshana badili kauli baadae usije sema tunguli zimekudanganya baada ya kuziacha mazima
[emoji736][emoji817][emoji1548]Yangu
Simba 4-2 Yanga
Tunaingia kipindi cha pili kuwa mpoleMzee mshana badili kauli baadae usije sema tunguli zimekudanganya baada ya kuziacha mazima
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Mzee mwenzangu pole sana ila ule upepo mlio uleta kuanzia dk 75 ulikuwa mkali Sana lakin nili ukimbiza kwa falaki TU na kufunga mlangoTunaingia kipindi cha pili kuwa mpole
Jr,uganga umekushinda
Uchawi wa kitapeli
Mtu amestaafu uchawi atawezaje utabiri?
Mzee wangu Rudi hapa udhibitishe hili🤪🤪🤪
Hongera sana kwa utabiri