Hata kama Yanga atapaki basi na kutegemea kaunta?
We ukitabirigi simba anakufa
Pumb.avu ww
Taahira mkubwa wewePumb.avu ww
Tabiri nne za mwisho nilitoka kidedea 3We ukitabirigi simba anakufa
Mdogo mdogo michezo ni furahaTaahira mkubwa weweView attachment 1838650
Yanga atashinda kwa goli mbili kwa moja
Naweka mwekundu yanga akishinda hii mechiYanga atashinda kwa goli mbili kwa moja
Kima wwTaahira mkubwa weweView attachment 1838650
Nakumbuka nikiwa mdogo mzee wangu alimualika mzee wa Yanga Kwalarumpa malaysia kwenye baa moja karibu na sheli ya Mwanamboka mitaa ya Kino baada hapo akampakia kwenye gari akampeleka kwake.
Exactly... That's why unaitwa utani tena wa jadiWahenga inabidi mshushe uzi maalum kwa ajili ya kutoa elimu ya utani wa jadi kwa sisi vijana wa dot com.Nakumbuka nikiwa mdogo mzee wangu alimualika mzee wa Yanga Kwalarumpa malaysia kwenye baa moja karibu na sheli ya Mwanamboka mitaa ya Kino baada hapo akampakia kwenye gari akampeleka kwake.
Utani wa jadi haikuwai kuwa uadui.
Utajua manyanga saa zingine huwa yanagoma!
Hatuwezi kupaki basi kwa timu kama Simba. Kwa wachezaji gani walionao hadi iwe hivyo? Hawa kina chama? Morrison?Hata kama Yanga atapaki basi na kutegemea kaunta?
Katika kubeti unashauriwa usiingie mzima mzima kwenye mechi za derby wachezaji hua wanajitoa kama siyo uliowaona wiki moja nyuma.