Unashanga bado kifoNdoa yake yeye vipi? Kwa nini mume wake amekufa ghafla sana huku akiwa na afya nzuri tu muda mfupi kabla ya hapo? Muda huu wengine hatuhitaji kusikia habari za ndoa alizoimarisha, tunataka kujua kuhusu mumewe.
Uwe na adabu kwa MBOWe,kwann umeiacha MWENYEKITIPoleni sana. Hivi ana undugu ya Mbowe Freeman Aikaeli?
Si ukagoogle ahahahah (utani tu)
Hata mm natamani kujua chanzo cha kifo cha mumeweNdoa yake yeye vipi? Kwa nini mume wake amekufa ghafla sana huku akiwa na afya nzuri tu muda mfupi kabla ya hapo? Muda huu wengine hatuhitaji kusikia habari za ndoa alizoimarisha, tunataka kujua kuhusu mumewe.
Usiyempenda Mungu anampenda.... Ndio maana bible inasema Wapendeni waowaudhi etc.. ..je wewe Unajua Wangapi unawachukiza? Na hawakupendi...Sijajua huwa kifo kinatumia formula gani! Nakichukia sana kifo yaani yule msiyempenda ndio kifo nacho hakimpendi, yule mnayempenda ndio na kifo kinamkodolea macho huyo huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 90, waoanguka na kufa ni KISUKARI kinachangia kwa kiasi kikubwa ,hata heart attack inatokana huko huko. Ni muhimu Sana kucheck afya.. Jada vijana wengi wenye afya zao wengi wanavisukari hawajui. MTIZAMO binafsi. Haina uhusiano na kichwa cha Habari.Kwa nini wanaume wenye afya nzuri na uwezo mzuri wa kimaisha wanafariki sana siku hizi? Tena ghafla tu? Imekuwaje tena? RIP
ndio maana sifi pengine eeeghhUsiyempenda Mungu anampenda.... Ndio maana bible inasema Wapendeni waowaudhi etc.. ..je wewe Unajua Wangapi unawachukiza? Na hawakupendi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndomana nimesema heshima yake uumpe.sijasema jinalake kwani umeshatajaMwenyekiti siyo jina ni cheo
Ni kama vile unataka kuongea jambo ambalo hauna uhakika nalo ivi,Ndoa yake yeye vipi? Kwa nini mume wake amekufa ghafla sana huku akiwa na afya nzuri tu muda mfupi kabla ya hapo? Muda huu wengine hatuhitaji kusikia habari za ndoa alizoimarisha, tunataka kujua kuhusu mumewe.
Ndoa yake yeye vipi? Kwa nini mume wake amekufa ghafla sana huku akiwa na afya nzuri tu muda mfupi kabla ya hapo? Muda huu wengine hatuhitaji kusikia habari za ndoa alizoimarisha, tunataka kujua kuhusu mumewe.
..............Binadam tunatembea na kifo,mbele ya mwenye pumzi yake hakuna mzima wote tunaumwa ukijikuta mzima siku umeimaliza vyema shukuru ukiamka salama shukuru siri ya kifo hajakuwepo bado aijuae.Kwa nini wanaume wenye afya nzuri na uwezo mzuri wa kimaisha wanafariki sana siku hizi? Tena ghafla tu? Imekuwaje tena? RIP
Halafu akatuachia hewani nampa pole kaondokewa na mume ilhali bado anamuhutajiKuna ile story inapamaba huku hebu iwekwe juu pale kwa utambuzi zaidi wa mfiwa
@Naipenda Jumamosi Yangu
Moderator
Mume anamsaidia mke. Na mke anamsaidia mume. Kama alianguka kwa kisukari manake mwili uliishiwa glucose akazimia ikaleta kifo. Either alitumia insulin halafu hakula chakula au hakutumia insuli kabisa. Usipotumia, mwili unaishiwa glucose. Ukitumia na usipokula, sukari inapungua mwilini. Mkewe alifanya jitihada gani kuhakiki anakuwa sawa sababu ana tatizo la kisukari? Especially sababu yeye ni mfano kwa wengi na alitakiwa aweke ndoa yake mbele zaidi?Ukiwa na ndoa nzuri huwezi kufa?