Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Dah mabaharia kutoka buza sasa wataanza kujipigia
 
Dah!! Ata siaminiiii. Heee duniani kweli tunapita.
 
Ndoa yake yeye vipi? Kwa nini mume wake amekufa ghafla sana huku akiwa na afya nzuri tu muda mfupi kabla ya hapo? Muda huu wengine hatuhitaji kusikia habari za ndoa alizoimarisha, tunataka kujua kuhusu mumewe.
Hata mm natamani kujua chanzo cha kifo cha mumewe
 
Sijajua huwa kifo kinatumia formula gani! Nakichukia sana kifo yaani yule msiyempenda ndio kifo nacho hakimpendi, yule mnayempenda ndio na kifo kinamkodolea macho huyo huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiyempenda Mungu anampenda.... Ndio maana bible inasema Wapendeni waowaudhi etc.. ..je wewe Unajua Wangapi unawachukiza? Na hawakupendi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wanaume wenye afya nzuri na uwezo mzuri wa kimaisha wanafariki sana siku hizi? Tena ghafla tu? Imekuwaje tena? RIP
Asilimia 90, waoanguka na kufa ni KISUKARI kinachangia kwa kiasi kikubwa ,hata heart attack inatokana huko huko. Ni muhimu Sana kucheck afya.. Jada vijana wengi wenye afya zao wengi wanavisukari hawajui. MTIZAMO binafsi. Haina uhusiano na kichwa cha Habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa yake yeye vipi? Kwa nini mume wake amekufa ghafla sana huku akiwa na afya nzuri tu muda mfupi kabla ya hapo? Muda huu wengine hatuhitaji kusikia habari za ndoa alizoimarisha, tunataka kujua kuhusu mumewe.
Ni kama vile unataka kuongea jambo ambalo hauna uhakika nalo ivi,

anyway mume wake alikua na kisukari na alipokua kazini alijisikia vibaya na ghafla akaanguka na mauti ikamfikia apo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wanaume wenye afya nzuri na uwezo mzuri wa kimaisha wanafariki sana siku hizi? Tena ghafla tu? Imekuwaje tena? RIP
..............Binadam tunatembea na kifo,mbele ya mwenye pumzi yake hakuna mzima wote tunaumwa ukijikuta mzima siku umeimaliza vyema shukuru ukiamka salama shukuru siri ya kifo hajakuwepo bado aijuae.

RIP kwake,pole kwa familia yake.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
RIP SEBA wa SOKO Tours! Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza!!! Apumzike kwa amani
 
Ukiwa na ndoa nzuri huwezi kufa?
Mume anamsaidia mke. Na mke anamsaidia mume. Kama alianguka kwa kisukari manake mwili uliishiwa glucose akazimia ikaleta kifo. Either alitumia insulin halafu hakula chakula au hakutumia insuli kabisa. Usipotumia, mwili unaishiwa glucose. Ukitumia na usipokula, sukari inapungua mwilini. Mkewe alifanya jitihada gani kuhakiki anakuwa sawa sababu ana tatizo la kisukari? Especially sababu yeye ni mfano kwa wengi na alitakiwa aweke ndoa yake mbele zaidi?
 
Back
Top Bottom