Umetambua hilo mbona liko waziApumzike anapostahili.
Ingawa huyu dada huwa namwona msanii sana mpiga hela ila reality sivyo kama afundishayo.[emoji2370]
Ulokole wa kwenye mitandao labdaIrene mumewe alikua chapombe? Si walokole
Mm sifahamu.... Ila nmemuelewesha mtu maanaInamaana irene na ulokole ule mumewe alikua chapombe
Inamaana irene na ulokole ule mumewe alikua chapombe
Mdogo wake pale saloon Arusha ni mweusi
Inamaana irene na ulokole ule mumewe alikua chapombe
Duuu!
Watu wanajua kuchangamkia fursa haswa
Ni mpare huyo mama sio mchaga,miaka ya 2004 alikua mweusi kma kangi lugola bdae akapiga mkorogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee mimi piaKwanza huwa simsomi Kabisa,. Namuona km msanii
kwani wachaga wana nini?mchaga kungwi? hatari sana kumbe wachaga wamo siku hizi,
Kumbe ni kisukari maskini. Kuna watu nilisikia wanasema alikuwa na maradhi mengine
Hukuwaomba pesa? Maana mnaanziaga mbali kama hivyoMaskini hivi karibuni amekuwa akihubiri Sana wake zetu "wasitunyime" dah!
Mume wake alikuwa anampenda Sana.
Siku moja wakiwa wanatoa Fedha kwa wakala Metropole niliwakuta na kuwasalimu. Nikamsifia Irene kidogo kwa kazi take ya ukungwi, then Seba akachombeza " umeona alivyo mwanamke Supa ee"
Ukataka kumla kimasihara ?Maskini hivi karibuni amekuwa akihubiri Sana wake zetu "wasitunyime" dah!