Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Maskini hivi karibuni amekuwa akihubiri Sana wake zetu "wasitunyime" dah!

Mume wake alikuwa anampenda Sana.
Siku moja wakiwa wanatoa Fedha kwa wakala Metropole niliwakuta na kuwasalimu. Nikamsifia Irene kidogo kwa kazi take ya ukungwi, then Seba akachombeza " umeona alivyo mwanamke Supa ee"
Hukuwaomba pesa? Maana mnaanziaga mbali kama hivyo
 
Maskini hivi karibuni amekuwa akihubiri Sana wake zetu "wasitunyime" dah!

Mume wake alikuwa anampenda Sana.
Siku moja wakiwa wanatoa Fedha kwa wakala Metropole niliwakuta na kuwasalimu. Nikamsifia Irene kidogo kwa kazi take ya ukungwi, then Seba akachombeza " umeona alivyo mwanamke Supa ee"
Ukataka kumla kimasihara ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom