Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Pole sana Dada Irene. Mungu akupeni faraja wewe na anafamilia wote. Pumzika kwa amani kaka yetu Seba.
 
Mdau ingia YouTube uangalie na kusikiliza wimbo wa nyumbani ni nyumbani wa TMK wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANI NDOA YAO ILIKUWA YA MFANO HAPANA JAMANI NI USANII TU! NA UKUNGWI NI BIASHARA TU YA KUPATA MTONYO! KUNGWI ALIMKALIA JAMAA KICHWANI SANA HAKUWA NA SAY..... NA JAMAA AKAWA KWENYE VEVE, NYAGI KWA SANA

Kuna tofauti ndogo sana Kati ya kupenda na kukaliwa. Mara nyingi mapenzi ya dhati huchanganywa na kukaliwa
 
Nimeona "ICE KYUBU" anyway innallilah wainnallilah rajiuun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…