FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kuna ushamba mtu anafanya mwingine ila aibu unaona mtazamaji, so shameful, showoff za kishamba hadi naona aibu mimiHata akivaa funguo kifuani sioni shida.
Kwani ufunguo wa mtu wewe unakukera kwa kitu gani?
Mleta mada wewe ni mjamzito au nini shida?
Aibu unaona wewe kwani wewe ni mke wa huyo jamaa anayening'iza funguo.Yaani kuna ushamba mtu anafanya mwingine ila aibu unaona mtazamaji, so shameful, showoff za kishamba hadi naona aibu mimi
Kuna vitu vinatia aibu sana, yaani jitu linajipitisha pitisha hapo na hilo lifungua kama tunguli za mganga, halafu kibaby walker sasa, so shamefulAibu unaona wewe kwani wewe ni mke wa huyo jamaa anayening'iza funguo.
Una aibu hata kwa mambo yasiyo kuhusu?
Nawewe nunua gari wacha makasiriko kwa wenye gari zao.I phone macho matatu na ufunguo wa gari havijawahi kutosha mfukoni. Ngoja waje wakuambie tafuta hela upunguze makasiriko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aiseee n ushamba uliopitiliza
Hahah, mlete dada yako nimhonge hata Dualis basi .., hahaTafuta pesa mtoto wa kiume
Gari za ulayaSuruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.