Kuning’iniza funguo za gari kiunoni kama tunguli ni ushamba uliopitiliza

Kuning’iniza funguo za gari kiunoni kama tunguli ni ushamba uliopitiliza

Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Akili yako ina wivu wa kike mtu akining'iniza ufunguo wake sehemu salama kwa kuepuka kudondoka we unapungukiwa nini? Bora ungeleta changamoto yoyote inayosumbua jamii yako tuijadili. Pasaka njema
images-22.jpg
download.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.

Funguo huwa zinatoboa mifuko., huo ni uzoefu wangu binafsi.
 
Mi sina gari ila nina mji wangu wenye wapangaji,siachi kuning'iniza funguo,mkuu tafuta hela jenga nyumba ya makuti ning'iniza funguo wasiokuwa na hata kichanja cha kujihifadhi watakuheshimu.
 
I phone macho matatu na ufunguo wa gari havijawahi kutosha mfukoni. Ngoja waje wakuambie tafuta hela upunguze makasiriko
Kuweka simu mfukoni ni ukilaza.Simu zina mionzi mikali sana zinapokuwa kwenye mbanano wa mwili na nguo.
Ni salama kuishikilia mkononi huko hata athari zake sio mbaya kama zinavyoathiri eneo la viungo vya uzazi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom