dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Na Kweli nimeshaona mpuuz mmoja kaninginiza Kuja kujuwa Hana gari Wala hajawai kuwa nayoOndoa hofu mkuu....... wasikutishe wengne wananunua tu izo funguo kama urembo unakuta Hana ata gari lakini katundika funguo pembeni ya mfuko wa suruali..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app