Kuning’iniza funguo za gari kiunoni kama tunguli ni ushamba uliopitiliza

Kuning’iniza funguo za gari kiunoni kama tunguli ni ushamba uliopitiliza

Nimejaribu kuchunguza watu wenye magari ya thamani za kutupwa km Mo Dewji, Manji et al.. huwa funguo wananing'iza upande upi wa suruali nimekosa. [emoji56][emoji56][emoji56]
Umewahi waona wakiendesha?
 
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Kuninginiza funguo kiunoni sio ushamba na ni sehemu sahihi. Ulishachanganya ufunguo na simu mfuko mmoja ukaona kitu simu itafanywa? Ulishawai weka ufunguo mfuko wa nyuma ukaketi kisha uone kitu tako litafanywa? Ulishaweka funguo na remote yake mfuko wa nyuma ukaketi kisha uone kitu tako litaifanyia remote?
 
Uko-force kuishi life status ambayo siyo halisi kwako utaishi kwa shida zaidi.
 
Ukiishi kwa kuficha vitu naanza kusema kajiunga kikundi cha siri.
Tulipofikia Ficha upumbavu tu.
 
Kwani hiki kifaa kiitwacho key holda kazi yake ni nini?
And why waliokitengeneza wameweka sehemu ya kuning'inizia.
Mwisho wa siku 20% alishaimba kwamba we tuliza moyo wako,rahisisha mahitaji yako na uchunge tamaa mbaya.
Ridhika tuu na ulichonacho,kubali tuu vitu flani hunaa
 
Wengine tuna ning'iniza funguo za milango ya ghetto.

Tukiweka mfukoni zinadondoka kwa hiyo usituponze tulale nje kwa ajili ya kukufurahisha wewe.
Mimi nanin'giniza za gheto iliwajue silali nje,tambia ulichonacho budaaa
 
Nimenunua hii gari Jana nataka Leo Nika chonge ufunguo niuning'inize bwana
FB_IMG_1680031650481.jpg
 
Kuninginiza funguo kiunoni sio ushamba na ni sehemu sahihi. Ulishachanganya ufunguo na simu mfuko mmoja ukaona kitu simu itafanywa? Ulishawai weka ufunguo mfuko wa nyuma ukaketi kisha uone kitu tako litafanywa? Ulishaweka funguo na remote yake mfuko wa nyuma ukaketi kisha uone kitu tako litaifanyia remote?
Kwani mfuko wa mbele upo mmoja hadi uchanganye simu na funguo? Acheni ushamba bhana
 
Back
Top Bottom