MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kama gari lipo lipo tu, ata uvae funguo kama hereni. Ila mfukoni zina haribu simu, mimi naweka mfuko wa shati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliotengeneza key holders ulitaka waweke masikioni mwako?acha shobo dada angu kama huna Cha kunin'giniza tikisa hata tackleKuna vitu vinatia aibu sana, yaani jitu linajipitisha pitisha hapo na hilo lifungua kama tunguli za mganga, halafu kibaby walker sasa, so shameful
Hamna hata haja ya kumuelewesha hyu dada anonekana too primitiveGari za ulaya
Mfano German cars funguo zake ni kumbwa na ‘ Knob ‘na zina sensor kwa ajili ya kufungua milango ya gari na madirisha
Ukiweka kwenye mfuko mfano ukakaa
Waweza shangaa umebana na kuwasha sensor umefungua milango au hata kushusha vioo
Ni njia salama ya kutunza funguo na usalama wa gari. Unaweza tia funguo mfukoni then katika kukaa au kuweka mkono mfukoni ukabonyeza unlock. Ukajikuta umewarahisishia wahalifu.Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
NakaziaTafuta hela
Kifupi dume zima kuangalia hadi kwenye viuno vya wanaume wenzio kuona wanachoninginiza iwe funguo au chochote na kuangalia suruali zao kama zina mifuko au la ni tabia za kishogaSuruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Ukisema huwezi changanya funguo na simu hoja yake itakuwa na nguvu kwa sababu suruali ina mifuko mingi (4) issue ni kwamba kila mtu afanye mambo yake ya msingi maana wewe unayefatilia maisha ya wengine ni wewe unayeumia zaidi maana hata anayefatiliwa wala hana habari ya kinachoendelea.Kuchanganya funguo na simu mfukoni kunanitia hasara ya kununua screen protector ya simu mara kwa mara.Hivyo option cheap kwangu ni simu mfukoni,funguo mkononi.Hata hivyo uache makasiriko yasiyo na maana,funguo kashika mwingine,wewe unakereka,kwanini?Usiwapangie watu namna ya kuishi
Hii ya kweli Kabisa. Gharama ya kupoteza funguo ni kubwa Zaidi ya kunig'inizaWengine tuna ning'iniza funguo za milango ya ghetto.
Tukiweka mfukoni zinadondoka kwa hiyo usituponze tulale nje kwa ajili ya kukufurahisha wewe.
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.