Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Umenusa kwapa lako? Mara nyingine mtu unafikiria harufu inatoka kwingine kumbe..?.. Inakuwa ile story ya "nyani haoni kundule".
Mkuu, ilo tatizo la mpenzi wangu na yeye mwenye analijua ilo..
Nimekuja humu JF kutafuta ushauri, wewe unaleta utoto
Siyo tu atumie deodorant. Anachotakiwa kutumia ni 48 hr clinical strength ANTI-PERSPIRANT deodorant. Kuna tofauti baina ya deodorant na ANTI-PERSPIRANT deodorant.
Mtu mwenye tatizo kubwa la kikwapa deodorant pekee haitasadia kuondoa tatizo. Inapaswa atumie deodorant zinazokata utokwaji wa jasho kwenye kwapa na hizo ndiyo ANTI-PERSPIRANT deodorants.
Baadhi ya watu huwa hawajui hilo. Wakiona tu container lina neno deodorant basi anakimbilia kununua. Sasa deodorants zisizo na anti perspirant ingredients huwa haziko effective kwa watu wenye vikwapa vinavyotema na ndiyo maana utakuta watu wanalalamika kuwa wamejaribu kutumia deodorant lakini wapi.
Ni muhimu sana kusoma ni deodorant ya aina gani mtu unanunua. I always recommend ANTI-PERSPIRANT deodorants.
Niliwahi kuona mada east african tv kuwa anti perspirant deodorants zinasababisha breast cancer both to ladies and male wakaweka na scientific pics,binafsi situmii toka hyo cku
[h=4]Key Points[/h]
- There is no conclusive research linking the use of underarm antiperspirants or deodorants and the subsequent development of breast cancer.
- Research studies of underarm antiperspirants or deodorants and breast cancer have been completed and provide conflicting results.
- Can antiperspirants or deodorants cause breast cancer? Articles in the press and on the Internet have warned that underarm antiperspirants (a preparation that reduces underarm sweat) or deodorants (a preparation that destroys or masks unpleasant odors) cause breast cancer (1). The reports have suggested that these products contain harmful substances, which can be absorbed through the skin or enter the body through nicks caused by shaving. Some scientists have also proposed that certain ingredients in underarm antiperspirants or deodorants may be related to breast cancer because they are applied frequently to an area next to the breast (2, 3).
However, researchers at the National Cancer Institute (NCI), a part of the National Institutes of Health, are not aware of any conclusive evidence linking the use of underarm antiperspirants or deodorants and the subsequent development of breast cancer. The U.S. Food and Drug Administration (FDA), which regulates food, cosmetics, medicines, and medical devices, also does not have any evidence or research data that ingredients in underarm antiperspirants or deodorants cause cancer.
Nina uhakika kuna moja ndiye unaemtegea, wakinadada siku zote wanaju nani watampa darasani, mtani, kazini, roommates, wanajua yupi ni sexy na ndiowanawategea.
Ila yako kali,inaonekana pesa ndiyo itayotembeza mkia.
I kinda liked it.
Akaoge maji ya mchele sirious ni dawa ..aoge siku tatu asubuhi na jioni
Usafi ni kila mtu unafanya,ila unaweza kuta kuna harufu fulani,yani kutema kwa lugha ya mtaani,je kutema huko ambapo kupo kwa wanaume na wanawake kunachangia kupunguza ladha ya penzi ama ali mradi ladha tamu zipo hakuna tabu jameni wanajf:scared: