Inawezekana mtoto ana tatizo la usagaji wa chakula. kwa hiyo chakula kinaka sana kwenye intestines. Hivyo chanzo cha jasho kinaweza kuwa ni Re-absorption of wastes from the intestines and its consequent elimination (of toxins) through the skin. Yaani mwili uko loaded with toxins, na elimination organs, kidneys and liver zimezidiwa,hiyo skin inatumika kusaidia kuondoa hiyo sumu. kwa hiyo hata akitumia hizo deodorant, ndimu na ukoko wa ugali tatizo litabaki palepale. kwa hiyo maswali ya kujiuliza ni je anapata choo sawa sawa, mlo wenu kwa siku ukoje : ni sembe na wali mweupe, je anakula vegetables na matunda kila siku? vipi kuhusu nyama ,maziwa ,chumvi na sukari? fuatilia halafu chukua hatua.