Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

  1. Kwanza kabisa unatakiwa kujua kua jasho halina harufu kabisa. lile harufu tunalo fikiria kua la jasho linasambabishwa na bakteria zinazo patikana kwenye ngozi eneo za kwapa. Kwa hiyo any antibacterial soap should reduce the proliferation of bacterias in that area (detol, protex etc).
  2. Pili hizo bacteria zinahitaji unyevu fulani kwa kuendelea ku-multiply. so the next step is to keep your armpits as dry as you can kwa kufuta jasho (discretly please) au better yet, kwa kutumia anti perspirant deodorant.
  3. Tatu nguo unazo vaa zina influence kutoka kwako jasho. jizoeze kuvaa nguo zenye natural fabric kama cotton, linen, silk etc. achana na nylon, polyester na zingine synthetic fabrics.
Kwa kuongezea hayo, ni vyema akazowea kuoga na kutumia kipande cha timu badala ya sabuni katika sehemu za makwapa kila aogapo hatakua na haja ya kutumia roll-on a.k.a Deodorant.
 
USHAURI HUU MZURI wa KUUFUATA....mimi naongezea tu kuwa, anunue anti perspirant deodorant inayoitwa SHOWER TO SHOWER, iko katika maduka ya vipodozi, hii ni KIBOKO ya harufu ya kikwapa, akishaoga, akaushe makwapa yake, halafu apake katika makwapa yake kila akitoka kuoga, halafu nipm unipe matokeo yake...usisahau pliz! nina msaada mwingine mbadala ila hii ni nzuri sana imesaidia wengi.
  1. Kwanza kabisa unatakiwa kujua kua jasho halina harufu kabisa. lile harufu tunalo fikiria kua la jasho linasambabishwa na bakteria zinazo patikana kwenye ngozi eneo za kwapa. Kwa hiyo any antibacterial soap should reduce the proliferation of bacterias in that area (detol, protex etc).
  2. Pili hizo bacteria zinahitaji unyevu fulani kwa kuendelea ku-multiply. so the next step is to keep your armpits as dry as you can kwa kufuta jasho (discretly please) au better yet, kwa kutumia anti perspirant deodorant.
  3. Tatu nguo unazo vaa zina influence kutoka kwako jasho. jizoeze kuvaa nguo zenye natural fabric kama cotton, linen, silk etc. achana na nylon, polyester na zingine synthetic fabrics.
 
Anapokuwa ametoka kuoga akaushe kwapa vizuri then atumie antiperspiring deodorant yoyote ile sio lazima iwe ya gharama kubwa anaweza kununua Blue ice or Power house bei yake ni cheap haizidi 2000/=,atumie asubuhi akitoka kuoga na jioni aunapotoka kuoga,kwa muda wa siku tatu hiyo harufu itatoweka,ila asiache kutumia baada ya kuona hiyo harufu imepotea kwani inaweza kuwa ndiyo harufu yake,yaani ana harufu kali ya kwapa.
 
nashukuru madoctor wa jf ameanza kufanyia kazi ushauri wenu na mafanikio ameanza kuyaona.
 
Chukua ukoko wa ugali kwenye chungu cha ugali halafu tia kwenye chombo cha kuogea subiri kwa dakika kama tano koroga.
Kisha koga kwa maji ya ukoko huku
ukizingatia sehemu zenye harufu.
Asante.

Jamaniiiiiiii
 
Naamini muhusika kashajua cha kufanya, swali la nyongeza kwa wanaJF,je, kama mtu anatokwa na jasho jingi makwapani, ila halina harufu kali afanyeje?? Kwani nalo linakera, hatua mbili tu unakuta shati limelowa makwapani! Msaada plz!
 
Achukue baking soda (sodium bicarbonate) sijui kwa kiswahili inaitwaje, achanganye na maji kidogo au maji ya limau ajipake kwenye kwapa na aisugulie uzuri bada ya km 15min akoge. Inasaidia kuondoa harufu pia inaondoka weusi wa kwapa

Nafikiri inaitwa hamira au amira
 
Wadau naombeni msaada wa kujua dawa ya kutibu harufu ya kikwapa permanently, nimechoka kutumia deodorants daily, naomba anaefahamu dawa yeyote whether mbadala au kawaida, pliiiz, with thaks!
 
Kama unachoka kutumia deodorants mie nakua sikuelewi unajua! Ina maana hata ndevu nazo umechoka kunyoa, na kuoga nako, na kupiga mswaki nako, na kufua chupi kila unapo oga, na kupaka perfume, na kunawa uso kila unapo amka na hata kula pia nadhani itafikia siku utachoka,acha uvivu bado sikuelewi kabisa.:rant:
 
Pole, kama kwapa tu linakupa shida kule kwingine!!!
 
Back
Top Bottom