Kwa kuongezea hayo, ni vyema akazowea kuoga na kutumia kipande cha timu badala ya sabuni katika sehemu za makwapa kila aogapo hatakua na haja ya kutumia roll-on a.k.a Deodorant.
- Kwanza kabisa unatakiwa kujua kua jasho halina harufu kabisa. lile harufu tunalo fikiria kua la jasho linasambabishwa na bakteria zinazo patikana kwenye ngozi eneo za kwapa. Kwa hiyo any antibacterial soap should reduce the proliferation of bacterias in that area (detol, protex etc).
- Pili hizo bacteria zinahitaji unyevu fulani kwa kuendelea ku-multiply. so the next step is to keep your armpits as dry as you can kwa kufuta jasho (discretly please) au better yet, kwa kutumia anti perspirant deodorant.
- Tatu nguo unazo vaa zina influence kutoka kwako jasho. jizoeze kuvaa nguo zenye natural fabric kama cotton, linen, silk etc. achana na nylon, polyester na zingine synthetic fabrics.