Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Sibonike @ nipo silias nimetumia mpaka tube za kila aina yeye anadai kua kuna jamaa waliachana kipindi cha nyumba ndo kamfanyia hiv eti alimchezea hila mi siamin imani za kishirikinac
 
Sibonike @ nipo silias nimetumia mpaka tube za kila aina yeye anadai kua kuna jamaa waliachana kipindi cha nyumba ndo kamfanyia hiv eti alimchezea hila mi siamin imani za kishirikinac

Hapo hamna ushirikina mkuu. Kwanza aepuke hizo perfume hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Badala ya perfume atumie deodorant ya Aloe Vera. Lakini chukua tahadhari maana zipo feki kibao kwenye maduka mengi ya madawa unless ununue kwa agent au kwao wenyewe.
 
Poa poa mkuu naomba uwe unauliza uliza dawa uko unaweza kunisaidia mi nipo arusha kwa sasa hila muda si mrefu ntakua dar
 
Wengi hamponi kwa sababu mnaomba msaada kwa kuzuga, mara ooh rafiki yangu, ooh demu wangu
 
Unakosea ndo maana.

Pafyumu siyo dawa ya kikwapa.

Dawa ya kikwapa ni deodorant na/ au antiperspirant deodorant.

Hizo za kawaida zikishindikana, kuna za clinical strength pia ambazo anaweza tumia.
 
Hakikisha unaoga kila siku ili kupunguza idadi ya bakteria kwapani kwani husababisha kuweka harufu mbaya kwenye mwili hasa majira ya joto kwa kuwa mara nyingi joto ndilo husababisha jasho na harufu kwapani hivyo unahitaji kuoga mara mbili kila siku, unaweza kutumia sabuni au anti-bacterial na maji ya moto.

Safisha nguo katika maji ya moto na sabuni ya kuondoa uchafu na mafuta, vaa mashati safi. Inapendekeza kuvaa mavazi yenye nyuzi za asili, kama vile pamba na hariri ili kusaidia kunyonya unyevunyevu na kuruhusu ngozi kupumua.
Wakati unafanya mazoezi, tumia nguo zenye vitambaa ambavyo vitanyonya unyevunyevu kwapani ili kuzuia harufu mbaya.

Vinega
Apple cider siki na vinega nyeupe, hupunguza harufu kwapani. Ili kukabiliana na harufu, loweka pamba katika vinega, paka kwenye makwapa badala ya deodorant. Mbali na tiba hiyo, tumia tea tree oil, inaweza pia kuwa na manufaa kwa sababu ni anti-bacterial.

Limao
Kata limao au ndimu nusu kwa kisu. Paka kipande cha limao ulichokata kwenye kwapa lako na hakikisha unalisugua mpaka litoe maji yake. Weka kwapa lako lipate hewa ili hiyo juice ya limao uliyopaka ikauke.

Asidi citric katika maji ya limao inasaidia kutoa tezi ya jasho hivyo kuondoa harufu.
Makala hii ni kwa msaada wa Bongo urembo, wiki ijayo nitajibu maswali yenu yote, asanteni kwa kunisoma.
 
dawa nzur ya kuondoa hyo hali iwe kufany mapenz au iwe kawaida sugulia ndimu sehemu za kwapa kw siku 5 asubuh na jion kw muda wa dkk 5 mpk 10 alaf kanawe endelea na shughul zako.
 
Inategemeana wengine vichafu wengine ugonjwa. Tumia ndimu walau kwa wiki mara 3 inasaidia sana
 
Nilipokuwa ktk kipind cha balehe cku moja nilipita karibu na mama mzazi,akaskia haruf kali san ya kikwapa chang,akaniambia nikaoshe kwap zang kwa maj ya mchele,likawa zoez kila jion navizia maj ya mchel,wk tu kwisha habar yak mpaka leo fureshhh

Duh! Kikwapa huwa kinanuka sana hongera kwa kupona!
 
Mshauri aje Oriflame tuna deodorants nzuri kwa bei nafuu. Piga 0655868643 ukihitaji na unaletewa, karibuni sana!
 
Mmmmh jamani! Mimi ninjonjeni tu lakini kumnjonya mtu!Aku nani anaetaka kula mavi na kuachiwa mashuzi?

Hahaaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Matezi yanayotoa harufu maalumu kwapani yanaitwa apocrine glands, harufu yake huwa inamdefine mtu, wengine ni aurogenic (inasisimua), wengine si nzuri sana! Harufu ya uvundo ni tofauti, ni kwa sababu ya uchafu na inanuka vibaya!
 
Habari,kwa wale walio wahi kuwa na tatizo tajwa hapo juu na wakafanikiwa kuondokana nalo naombeni msaada wa njia au dawa mlizotumia kumaliza tatizo hili.Tatizo hili linaninyima amani kwa muda mrefu sasa wa miaka 6 na nimejaribu deodorant mbalimbali lakin kadri siku zinavyo songa mbele na tatizo linazidi kuongezeka.
 
Back
Top Bottom