Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Fua viatu na soksi mara kwa mara. Anagalu ufue soksi kila siku au usirudie soksi.
Fua viatu vyako kisha vigandishe kwenye freezer, weka kwenye mfuko wa nylon kisha gandisha usiku kucha kuua fungi/bacteria.
Osha na Kausha miguu yako vizuri kila unaponawa/oga. Zaidi ya hapo vaa sandals na kama vipi fika hospital umuone mtaalamu
Ahsante nduguPole sana kama umewahi ugua fungus Basi yawezekana iyo ni moja wapo ya tatizo lako Na pia yawezekana hao fungus hawajapona vizuri hivo rudi tena Hosp wakati ukiendelea weka mazingira ya usafi wa miguu yako vizuri zaidi, mafuta ya mnyonyo ni mazuri kwa kutibu fungus waweza paka ayo muda wa usiku ukiwa walala mkuu inaweza saidia