Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Fua viatu na soksi mara kwa mara. Anagalu ufue soksi kila siku au usirudie soksi.

Fua viatu vyako kisha vigandishe kwenye freezer, weka kwenye mfuko wa nylon kisha gandisha usiku kucha kuua fungi/bacteria.

Osha na Kausha miguu yako vizuri kila unaponawa/oga. Zaidi ya hapo vaa sandals na kama vipi fika hospital umuone mtaalamu
 
Nashkuru sana mdau ahsante nitazingatiaaa
Fua viatu na soksi mara kwa mara. Anagalu ufue soksi kila siku au usirudie soksi.

Fua viatu vyako kisha vigandishe kwenye freezer, weka kwenye mfuko wa nylon kisha gandisha usiku kucha kuua fungi/bacteria.

Osha na Kausha miguu yako vizuri kila unaponawa/oga. Zaidi ya hapo vaa sandals na kama vipi fika hospital umuone mtaalamu
 
Pole sana kama umewahi ugua fungus Basi yawezekana iyo ni moja wapo ya tatizo lako Na pia yawezekana hao fungus hawajapona vizuri hivo rudi tena Hosp wakati ukiendelea weka mazingira ya usafi wa miguu yako vizuri zaidi, mafuta ya mnyonyo ni mazuri kwa kutibu fungus waweza paka ayo muda wa usiku ukiwa walala mkuu inaweza saidia
Ahsante ndugu
 
Swala ni fangasi.

Uwe unatumia muda mwingi kuogelea.

Kama hupo karibu na bahari chota maji yake uwe unaweka miguu kwenye maji ya bahari mara nyingi kila siku
 
Tumia terbinafine tablets mwezi mzima na upake terbinafine cream miguuni tatizo litaisha.
 
Back
Top Bottom