Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Umeshawahi hudhuria gheto za hao wakaka wangapi ? Je Unazungumzia Wakaka hawa wa Secondari au unazungumzia Wanaume? Mimi Kama Mwanaume sijawahi kunuka Miguu wala SocksJamani makaka,
Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Makaka ni nini hiki?
Jamani mimi nikitoka na wakaka wa secondary itakuwa paedophile ya kike tena. Ni wakaka wanaofanya kazi tena wengine wanaitwa baba.Umeshawahi hudhuria gheto za hao wakaka wangapi ? Je Unazungumzia Wakaka hawa wa Secondari au unazungumzia Wanaume? Mimi Kama Mwanaume sijawahi kunuka Miguu wala Socks
Jamani si kuwa ni mkarimu wa vyote.Unaingiza wanaume wengi sn kwako
Wakunuka anajulikana, mtu kashinda anazulula kwenye vibanda vya kubetia kutwa nzima, harafu akirudi geto hakuna maji anaachaje kunuka?Matatizo hawana mihuri usoni, ni mpaka mfike pa kufika avua viatu utafikiri kuna panya alifia kwenye viatu.
Kama unajijua hivyo si ununue tu viatu vya wazi,Inategemeana na mazingira pia na aina ya miili pia husababisha hiyo hali..
Sky Eclat: Handsome sio sura Fascial. Handsome ni pamoja na utanashati (smartness)Jamani makaka,
Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Makaka ni nini hiki?
Mkuu socks inatakiwa uwe na pair kwa kila siku, na zote zinafuliwa weekend, viatu uwe na angalau pair mbili unavaa moja leo kesho unaicha kwanza itulie, pia sijui mna haraka ya kwenda wapi mkitoka kuoga hamkaushi miguu vizuri na taulo.Fangasi, miguu iyolowa, soski ambazo hazijakauka, kutokufua soski mda mrefu, na kushinda umevaa viatu juani ndo sababu
Kifupi ni jasho tu la miguuAnzisha thread nyingine, hapa tunaongelea socks zilizotoboka na miguu inayonuka.
Ukijijua unatoka jasho la miguu vaa viatu vya wazi basi viatu na socks iwe ni kama unahudhuria harusi ya Sky Eclat vile.Kifupi ni jasho tu la miguu
Hawajitambui hao watoto wa mama. Anavaa soksi pair Moja week.chupi hawafui wkt wa kuoga (DSM maji shida)Jamani mimi nikitoka na wakaka wa secondary itakuwa paedophile ya kike tena. Ni wakaka wanaofanya kazi tena wengine wanaitwa baba.
sawa bibieKama ni ugonjwa si utibiwe? Unakuta amealikwa ubwabwa wa shughuli huku kwetu Kwamtogole lakini mwanaume anafikiria jinsi ya kuvua viatu.
Na nini kinasababisha uvae viatu vibichi, cha ajabu ni kuwa anavaa viatu vibichi ili akawahi balimi.Wengine wanavaaa viatu vikiwa vibichi so inasababisha uvundo, pia uchafu wa soksi
Ndo umwambie huyo bwana ako mana hilo tatzo me cnaUkijijua unatoka jasho la miguu vaa viatu vya wazi basi viatu na socks iwe ni kama unahudhuria harusi ya Sky Eclat vile.
Mkuu si kwa kujihami huku, sikufungulii kesi hata kama ni mhanga.Ndo umwambie huyo bwana ako mana hilo tatzo me cna