Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Uchafu, kama ni fungus nao alipata sababu ya uchafu au uzembe na unatibika kwanini asipate dawa.
Si ndiyo hapo mkuu, na hela ya balimi ipo kila siku lakini kwa daktari ni kituo cha polisi.
 
Hao me nawapaga bigup sana couse wakinitembeleaga geto mbu huwa wanaenda likizo kwa sababu ya harufu
 
Labda ulipata mwanaume chingaa!!
Kazunguka kutwa nzima, jua lote LA kwake, jasho lote hilo kwa nn viatu na soks zisinuke???
Kama unapenda soks zinukie AC mchukue bank teller!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Limekupata nini mkuu, lilikuwa jiwe tu halina mlengwa?
Swali ni gumu sana hili kujibiwa, sana watu wakiuliza kwanini wanawake wengine hata waoge namna gani na vipodozi sehemu nyeti iliyomtoa Adam bustanini inanuka chumba kizima. Sidhani kama utaweza kujibu.
 
Hawafanyi usafi inavyostahili.
Wanavaa pants mbichi
Wana STDs hawajijui
Wakienda haja ndogo hawajikaushi na tissue au handkerchief (leso)
Wakitoka mchezoni hawasafishi vizuri.
Kumbuka wapo wanawake hawaogi.
 
Jamani makaka,

Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Makaka ni nini hiki?
Makaka ndo manini??
 
Hahaaaa! Ila sometimes inategemea na aina/material ya viatu pia.
 
wengi wao ni wanaume wa lile jiji maarufu hila sisi wa mikoani ni wachache sana wanatatizo hilo
 
mmmnh SKY,watu wote wanaozungumzia gender nyingine,huwa wako tayari kuwa attacked,...................isije ukawa uko resentful na wakaka wa JF,..............i suggest uchukue time off/JF holiday,hamna kupost for a while,mpaka upone,and yes time heals everything......kama hii hai apply kwako,ipotezee
 
Tatzo sio ugonjwa wala kuvaa viatu na sox mbich.. Hizo zinaweza kuwa ni moja ya sababu, sababu kuu ni hii ya miguu hasa ya wanaume kutoa jasho ndo maana miguu hunuka sana kipindi cha joto au jua Kali.. Pili ni kuwa na kucha ndefu kiasi cha jasho linalovuja vidoleni kuingia chini ya kucha na kuvundia huko.. Ndo maana unaeza kujikausha vizuri lakini bado miguu ikatoa harufu maana ule uvundo ulio chin ya kucha za vidole hasa vidole gumba huwa unajiactivate ukivaa tu viatu na kutoa harufu.. Ukivua viatu ukipigwa upepo unaganda na hivyo harufu inakata unaeza kudhani imeisha lakin bado itarudia tena ukivaa tu viatu.
NJIA SAHIHI YA KUONDOA TATIZO HILI-
*Kata au punguza kabisa kucha zako za vidole vya miguuni ili kutoruhusu uchafu kujificha huko pia uwe na mazoea ya kupitisha vijiti chini ya kucha kila Mara kuondoa uchafu
* Vaa socks za material ya pamba 100% maana huwa zinakuwa nzito kiasi pia pamba hudhibiti joto na kufyonza jasho la miguu kwa haraka sana hasa zile za mitumba ndo huwa bomba zaidi
*Kamwe usivae socks zenye material ya polyester maana huwa hazina uwezo wa kufyonza joto afu huchemka yaan hupata joto sana zikiwa miguuni sasa hapo ukivua tu viatu utabadili hali ya hewa ya eneo zima
* kamwe usivae kabisa viatu bila socks hasa raba maana pia miguu ikipata joto jasho ukimbilia katikati ya vidole na kwakuwa hujavaa socks ukivua tu miguu utatamani uitupe..
* Mwisho na MUHIMU kabisa lazima uwe na walau kuanzia pair 4 za socks na kuendelea ila zikiwa pair nyingi zaidi ni bora sana maana bei ya kawaida kabisa ya socks ni kuanzi jero
BONUS hata boxer zetu nazo daaah unakuta mtu anavaa boxer moja siku tatu!!
CHOMBEZO.. kumbuka ukiwa unatoa harufu ni nadra sana we kuisikia maana umeizoea kazi kwa jirani yako au mwenzi wako!!
 
mmmnh SKY,watu wote wanaozungumzia gender nyingine,huwa wako tayari kuwa attacked,...................isije ukawa uko resentful na wakaka wa JF,..............i suggest uchukue time off/JF holiday,hamna kupost for a while,mpaka upone,and yes time heals everything......kama hii hai apply kwako,ipotezee

Ni kama uko kichani mwangu, ni wiki tatu tu zimepita aliaga lakini hakuondoka, kiasi kwamba nahisi kuna member humu alifanya yake!!!

Kwaherini
 
Back
Top Bottom