afu hata wewe ushawahi kuniattack.😵😵
Attacking ziko namna nyingi we unasema ipi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]afu hata wewe ushawahi kuniattack.😵😵
I never do that to women, never on earth.
You are my grandma, mom, sisy, wife or daughter.
Kama ukiipata coment yoyote ambayo nimemu abuse mwanamke nakupa $100.
I never do that to women, never on earth.
You are my grandma, mom, sisy, wife or daughter.
Kama ukiipata coment yoyote ambayo nimemu abuse mwanamke nakupa $100.
nimekupenda bure,
ni kweli kuna mtu anaeanzia na jina lako,alinishushuaaaaa huyo,😀
naona sio wewe,nisamehe bure,lol
Uwiii ngoja nikasake maktaba ya JF hizo comments😀😀
Amen.Pesa ni habari nyingine jamaniHutakaa uzione popote.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha sana Numbisa ubarikiwe.
Ila mimi kama Kuna mtu yupo tayari anikopeshe saiv milioni 1 na nusu tu, alafu mgao wangu wa hio milioni 2 ukitoka atachukua yeye yote. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amen.Pesa ni habari nyingine jamani
Hahaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Nyie mbona papuchi zinanuka hatusemi
Jamani makaka,
Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Wakinakaka ni nini hiki?
Usivae socks za mtumba. Ushauri wa bure.Tatzo sio ugonjwa wala kuvaa viatu na sox mbich.. Hizo zinaweza kuwa ni moja ya sababu, sababu kuu ni hii ya miguu hasa ya wanaume kutoa jasho ndo maana miguu hunuka sana kipindi cha joto au jua Kali.. Pili ni kuwa na kucha ndefu kiasi cha jasho linalovuja vidoleni kuingia chini ya kucha na kuvundia huko.. Ndo maana unaeza kujikausha vizuri lakini bado miguu ikatoa harufu maana ule uvundo ulio chin ya kucha za vidole hasa vidole gumba huwa unajiactivate ukivaa tu viatu na kutoa harufu.. Ukivua viatu ukipigwa upepo unaganda na hivyo harufu inakata unaeza kudhani imeisha lakin bado itarudia tena ukivaa tu viatu.
NJIA SAHIHI YA KUONDOA TATIZO HILI-
*Kata au punguza kabisa kucha zako za vidole vya miguuni ili kutoruhusu uchafu kujificha huko pia uwe na mazoea ya kupitisha vijiti chini ya kucha kila Mara kuondoa uchafu
* Vaa socks za material ya pamba 100% maana huwa zinakuwa nzito kiasi pia pamba hudhibiti joto na kufyonza jasho la miguu kwa haraka sana hasa zile za mitumba ndo huwa bomba zaidi
*Kamwe usivae socks zenye material ya polyester maana huwa hazina uwezo wa kufyonza joto afu huchemka yaan hupata joto sana zikiwa miguuni sasa hapo ukivua tu viatu utabadili hali ya hewa ya eneo zima
* kamwe usivae kabisa viatu bila socks hasa raba maana pia miguu ikipata joto jasho ukimbilia katikati ya vidole na kwakuwa hujavaa socks ukivua tu miguu utatamani uitupe..
* Mwisho na MUHIMU kabisa lazima uwe na walau kuanzia pair 4 za socks na kuendelea ila zikiwa pair nyingi zaidi ni bora sana maana bei ya kawaida kabisa ya socks ni kuanzi jero
BONUS hata boxer zetu nazo daaah unakuta mtu anavaa boxer moja siku tatu!!
CHOMBEZO.. kumbuka ukiwa unatoa harufu ni nadra sana we kuisikia maana umeizoea kazi kwa jirani yako au mwenzi wako!!
Chezea dolari were[emoji3] [emoji3] [emoji3]nimekupenda bure,
ni kweli kuna mtu anaeanzia na jina lako,alinishushuaaaaa huyo,😀
naona sio wewe,nisamehe bure,lol
Tukupe soksi zilizotoboka mkuu[emoji15]... au sijaelewa hapa[emoji3]Hata si ukaguzi lakini kwanini hamkagui socks zenu na zilizotoboka mtupe?