Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Aah nipo fasta kweli kwenye ulipaji,tutaenda na kurudi haraka kabla ya kukurupushwa na wazee wa kazi. Just imagine hapo tupo bank
Ha ha ha huko hapana nmeshindwa mie kukkopesha ntaishia kurud bila nguo na nkalipa zaid ya Den nililokukopesha
 
kwanini usivumilie kwai hivo viatu tunavua muda wote, si kipindi kifupi tu.
 
Kweli wadada hamna huruma yaani uingie na mkaka wawatu mahali uje umseme! Haya endelea maana story bado hii haya alivua nanini tena kingine tofauti na viatu
 
Kwanza umeingia nawangapi maana kama wanafika mia itakua ni asilimia 100 ya wanaume sasa
 
Kwanza umeingia nawangapi maana kama wanafika mia itakua ni asilimia 100 ya wanaume sasa
Hao ni wanaume ninaokutana nao si lazima kuwa walikuwa wapenzi wangu lakini mnakubali kuwa mna tatizo la kuvaa socks zilizotoboka?
 
Hao ni wanaume ninaokutana nao si lazima kuwa walikuwa wapenzi wangu lakini mnakubali kuwa mna tatizo la kuvaa socks zilizotoboka?
Watu wako tofauti sana jamii kwa jamii maana wapo wanaume wana sokisi pea moja tu sasa unakuta zimetoboka anavaatu ila sidhani kua ndo hivyo mpaka mumeo? Nakama mumeo anazo siumnunulie ili kupunguza hilo wimbi la sokis mbovu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…