Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Huwa sina tatizo kwenye kulipa deni,benk yangu ipo huku tutaenda wote ntakulipa cash
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha huko hapana nmeshindwa mie kukkopesha ntaishia kurud bila nguo na nkalipa zaid ya Den nililokukopeshaHuwa sina tatizo kwenye kulipa deni,benk yangu ipo huku tutaenda wote ntakulipa cashView attachment 524867
Ha ha ha huko hapana nmeshindwa mie kukkopesha ntaishia kurud bila nguo na nkalipa zaid ya Den nililokukopesha
Oya kiongozi rangi hiyo unatuumiza machomim nahis itakuwa ni fashion kama zile gloves ambazo vidole vya mkono vinatokeza nje kwahyo kumebuniwa style na vidole vya miguu vitokeze nje
Na bado mnazinyonyaNyie mbona papuchi zinanuka hatusemi
Hautaki tena kuonana na mm kuona soksi zangu?Wafundishe basi na watoto wako mwanaume anapaswa kumiliki pair tano au zaid za socks bazo hufuliwa kila weekend
Duuuuh! Kali ya mwakaNa bado mnazinyonya
na wewe una lazima usome?Oya kiongozi rangi hiyo unatuumiza macho
Kwa wale wote wenye socks zilizotoboka fikiria kwanza kabla hujanunua balimikwanini usivumilie kwai hivo viatu tunavua muda wote, si kipindi kifupi tu.
Mbona pombe mnakunywaMaisha magumu sana mkuu
MmmhMbona pombe mnakunywa
Pombe burudani DadaMbona pombe mnakunywa
Kwanza umeingia nawangapi maana kama wanafika mia itakua ni asilimia 100 ya wanaume sasaJamani makaka,
Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Wakinakaka ni nini hiki?
Hao ni wanaume ninaokutana nao si lazima kuwa walikuwa wapenzi wangu lakini mnakubali kuwa mna tatizo la kuvaa socks zilizotoboka?Kwanza umeingia nawangapi maana kama wanafika mia itakua ni asilimia 100 ya wanaume sasa
😛😛😛Kwa wale wote wenye socks zilizotoboka fikiria kwanza kabla hujanunua balimi
Watu wako tofauti sana jamii kwa jamii maana wapo wanaume wana sokisi pea moja tu sasa unakuta zimetoboka anavaatu ila sidhani kua ndo hivyo mpaka mumeo? Nakama mumeo anazo siumnunulie ili kupunguza hilo wimbi la sokis mbovu mkuuHao ni wanaume ninaokutana nao si lazima kuwa walikuwa wapenzi wangu lakini mnakubali kuwa mna tatizo la kuvaa socks zilizotoboka?