Natumia ya AirtelKuna VPN ya voda? TIGO au halotel?
Hapa ni kitonga.com 😄Hii inasaidiaje?
Kwanini tusianzishe mgomo kwa miezi miwili hivi wakutumia bando sio chakula hichi wadau mnaonaje bado vyanzo vya kupata habari vipo watumiaji mil 1 wanaonunua bando la elfu 30 kwa mwezi wakigoma kununua kutokuwa na loss ya bill 30Kununua bundle ni anasa
Intaneti ya bureHii inasaidiaje?
Well noted!Kukuongezea kitu, ukitaka kutumia insta tumia web version na si application maana web version huwa haifungui medias za page nzima kama app kitu ambacho kinafanya data isiende kubwa.
Majizi kweli haya makampuni ya simuJana nikanunua 1.4 sasa hivi napata sms et nimetumia asilimia 75,kwa kweli haya ni majanga
Umeongea jambo la msingi sana serikali ikipandishia izo kampuni gharama za uendeshaji maana yake iyo cost italipwa indirectly na mtejaHapa mitandao ya simu tunaionea tatizo linaanzia serikalini
Ikiongeza kodi kwa makampuni lazima kampuni nazo zipandishe gharama za vifurushi ili kutopata hasara
Hii ni biashara hata kama ni wewe huwezi kuwa unatengeneza hasara tu daily
Em nieleweshe hii inakuaje kuaje mkuu[emoji120]Intaneti ya bure
A.k.a kitonga dot com
Kununua bundle ni anasa na , bia zimepanda bei. Hapa unafanya opportunity Cost ufanye anasa ipi weekend ya leo
Naanza mgomo rasmi leo. Muda wa kuingia mtandaoni nitautumia kufanya meditation na kusoma vitabuKwanini tusianzishe mgomo kwa miezi miwili hivi wakutumia bando sio chakula hichi wadau mnaonaje bado vyanzo vya kupata habari vipo watumiaji mil 1 wanaonunua bando la elfu 30 kwa mwezi wakigoma kununua kutokuwa na loss ya bill 30
Sasa kwanini ulalamike na bei za mbs, wakati huna uwezoHaya ni matumizi ya mtu binafsi. Kuna mtu anatamani apate hata laki 6 afanye biashara lkn kuna mtu hiyo hela ananywea bia.
Ni hela yake na ni matumizi yake