Kununua bodaboda na kufungua salon

Saloon❌
a car having a closed body and a closed boot separated from the part in which the driver and passengers sit.
"a four-door saloon"

Salon✔️
a hairdresser, beautician, or couturier conducts trade.
"have your hair cut in a professional salon"
 
Unaweza pata watu kumi 10 wakunyoa kila siku???

Unaweza paki wala watu kumi 10 kila siku wale wa nauli buku??

Bora goli la mtumba coz ni km udalali, ramba umenunua elfu kumi unaweza dalalia mpuzi 25, 000
 
Ndo maana nimekuja huku nipate maarifa mkuu
 
Mkuu uko na ujuzi gani tuanzie hapo kwanza??? Maana jaribu kufanya biashara ambayo unaujuzi nayo ila kusema umkabidhi MTU aiseee watu hawaajiliki mkuu hyo Pesa utaijutia tu vinyozi ni Pasua kichwa Bodaboda ndio usiseme naungana na mchangiaji Mmoja huko juu kwamba kama unampango wakukabidhi watu hizo biashara hyo hela bora kanywee pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…