joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Jaribu hapa Used Car for Sale - Auto Trader UK
Au wasiliana na hawa wadau MICHUZI: SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI
Aaa aaa hawa Serengeti ni matapeli wakubwa! Usiwajaribu hata kidogo utajuta!
Usichanganye siasa na biashara...
Jamani naomba msaada aliyewahi nunua gari toka uingereza kuna gari nimeiona zoomtanzania na katika kuwasiliana nikakutana na mtu anaitwa Stefan Gleixner kutoka Steff investment je kuna mtu ashawahi watumia hao naombeni msaada tafadhari
Aaa aaa hawa Serengeti ni matapeli wakubwa! Usiwajaribu hata kidogo utajuta!
Kama unataka kutapeliwa watumie hawa jamaa, ni bora ujue kabisa Ukweli ili ufanye maamuzi kwa uhakika.Jaribu hapa Used Car for Sale - Auto Trader UK
Au wasiliana na hawa wadau MICHUZI: SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI
Wewe unalipwa kwa kila kichwa kinachotapeliwa ndio maana unapigia debe hapa!!Naona kuwa mdau yuko kwenye bidii ya kulibadilisha jukwaa la biashara liwe jukwaa la siasa!!!
Ndugu zanguni,Kama unataka kutapeliwa watumie hawa jamaa, ni bora ujue kabisa Ukweli ili ufanye maamuzi kwa uhakika.
Ndugu zanguni,
Mbona mnaingiza siasa kwenye biashara,?
Mimi ni mkurugenzi mtendaji wa Serengeti na ninakuomba kama una ushahidi wa yoyote unayosema dhidi yetu uyaweke hapa hadharani
Sisi kuwa kampuni ya usafirishaji tutakutapeli vipi? kwania sisi ndio tunaokuuzia hilo gari?
Pia sio kujisifu au dharau lakini ningependa kukujulisha kuwa hatuna njaa kiasi hicho jamaa yangu.
Mimi nadhani ni wivu tu unaowafanya baadhi ya ma mbulumundu kuandika maneno machafu dhidi yetu.
Siasa isiwe chanzo cha kuchukiana . Igeni mfano kutoka kwa watu kama Ndesamburo, pamoja na kuwa nimehama chama chake juzi tu katupatia biashara kubwa sana ambayo hata kama tukikaa mwaka mzima bila kufungua ofisi hatuta athirika
Kwa anayetaka kuwasiliana nasi tafadhali pitia website yetu hapa chini
www.sengetifreight.co.uk
[I
Mimi nimeweka web, na picha za ofisi zetu hapa naomba hao waliokutuma utuite matapeli nao waweke picha za ofisi zao hapa
Sisi ni wajasiria mali na ni mfano wa kuigwa
Mkuu kila mtu ana haki ya kutumia mdomo wake atakavyo.web address ni www.sengetifreight.co.uk or serengetifreight.co.uk ? Nahisi kuna mapungufu kwenye web uliyoiandika jf...umakini ni muhimu kwenye business.
Pili tuweke siasa kando: Nakuunga mkono sana kwa ubunifu wako wa kuanzisha hii kampuni, lakini Hili suala la utapeli kama kweli linafanyika kwenye kampuni yako bora ulifanyie kazi haraka ili kurudisha imani kwa wateja wa zamani na wapya ambayo wanatamani kutumia kampuni yako lakini wanaogopa kutapeliwa. Ukichukulia sasa unatumika na CCM ndio kabisa wanazidi kukuogopa kwamba ukiwatapeli CCM na serikali yake itakulinda kwa nguvu zote,means haki haitatendeka. Natumaini maoni yangu utayachukulia kibiashara zaidi na sio kisiasa.
tatizo tunapowapigia simu kuulizia flow ya mali zetu hata hamjali, badilikeni bana!Mkuu kila mtu ana haki ya kutumia mdomo wake atakavyo.
Hata siku moja adui hawezi kutusifia.
Ningewaomba hao wanaotuita matapeli waje hapa kueleza wametapeliwa ninbi sio kupiga majungu tu.
Mkuu kila mtu ana haki ya kutumia mdomo wake atakavyo.
Hata siku moja adui hawezi kutusifia.
Ningewaomba hao wanaotuita matapeli waje hapa kueleza wametapeliwa ninbi sio kupiga majungu tu.