Ndugu zanguni,
Mbona mnaingiza siasa kwenye biashara,?
Mimi ni mkurugenzi mtendaji wa Serengeti na ninakuomba kama una ushahidi wa yoyote unayosema dhidi yetu uyaweke hapa hadharani
Sisi kuwa kampuni ya usafirishaji tutakutapeli vipi? kwania sisi ndio tunaokuuzia hilo gari?
Pia sio kujisifu au dharau lakini ningependa kukujulisha kuwa hatuna njaa kiasi hicho jamaa yangu.
Mimi nadhani ni wivu tu unaowafanya baadhi ya ma mbulumundu kuandika maneno machafu dhidi yetu.
Siasa isiwe chanzo cha kuchukiana . Igeni mfano kutoka kwa watu kama Ndesamburo, pamoja na kuwa nimehama chama chake juzi tu katupatia biashara kubwa sana ambayo hata kama tukikaa mwaka mzima bila kufungua ofisi hatuta athirika
Kwa anayetaka kuwasiliana nasi tafadhali pitia website yetu hapa chini
www.sengetifreight.co.uk
[I
Mimi nimeweka web, na picha za ofisi zetu hapa naomba hao waliokutuma utuite matapeli nao waweke picha za ofisi zao hapa
Sisi ni wajasiria mali na ni mfano wa kuigwa